-
Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni
Nov 09, 2022 03:01Uchunguzi uliofanyika barani Ulaya uliochapishwa Jumatatu wiki hii umeonyesha kwamba karibu thuluthi moja ya wanafunzi au wafanyakazi katika vyuo vikuu wamepitia aina fulani ya unyanyasaji wa kingono.
-
Makasisi wa Kanisa Katoliki wahukumiwa kifungo jela kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi viziwi, Argentina
Nov 26, 2019 12:31Mahakama nchini Argentina imewahukumu makasisi wawili wa Kanisa Katoliki kifungo cha zaidi ya miaka 40 jela kila mmoja wao baada ya kupatikana na hatia ya kuwanyanyasa kingono wanafunzi 10 wa zamani wa shule ya viziwi ya kanisa hilo.
-
Zimbabwe yakataa wito wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja
Nov 08, 2016 07:25Serikali ya Zimbabwe imesema katu haitokubali wito wa Umoja wa Mataifa wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Msaidizi wa Papa Francis atuhumiwa kuwalawiti watoto
Jul 29, 2016 04:17Polisi nchini Australia inachunguza madai ya liwati dhidi ya Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.