• Imam wa zamani wa jamaa wa msikiti wa Manchester auawa kwa kupigwa

    Imam wa zamani wa jamaa wa msikiti wa Manchester auawa kwa kupigwa

    Feb 20, 2016 04:43

    Polisi ya mji wa Manchester nchini Uingereza, imetangaza habari ya kuuawa Sheikh Jalaalud-Din Sa'ab, msomi wa Qur'an na imamu wa zamani wa jamaa katika msikiti wa Jalaaliyyah mjini hapo. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Sa'ab mwenye uraia wa Bangladesh aliuawa Alkhamis usiku karibu na msikiti huo.