-
Zimbabwe yaamua kuuza wanyama pori kutokana na janga la ukame
May 03, 2016 16:28Serikali ya Zimbabwe imetangaza leo kuwa inawauza wanyama pori wake na kueleza kwamba inahitaji wanunuzi wa kuchukua hatua ya kuwaokoa wanyama hao na maafa ya ukame.
-
UNICEF yaonya kuhusu lishe duni kwa watoto wa Afrika
Feb 18, 2016 02:11Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema kuwa, kuna watoto milioni moja wana lishe duni barani Afrika