-
Marekani na waitifaki wake wa Ulaya wanatafuta njia ya kuhitimisha vita vya Ukraine kidiplomasia
Jul 09, 2022 22:18Gazeti la Kijerumani la Die Welt limeripoti kuwa, Marekani na waitifaki wakuu wa Magharibi wanafanya mazungumzo kwa siri ili kutafuta njia za kidiplomasia za kuhitimisha vita na mapigano nchini Ukraine.
-
Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine
Jul 07, 2022 03:26Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha
Jul 06, 2022 01:23Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kutuma silaha nchini Ukraine kwa kisingizio cha kurefusha vita na hadi sasa zimepeleka zaidi ya tani elfu 28 za silaha huko Ukraine.
-
Jeshi la Russia lakomboa Donbass, askari wa Ukraine watimuliwa kikamilifu
Jul 03, 2022 06:50Jeshi la Russia limetangaza mafanikio makubwa ya kuwatimua askari wa Ukraine kutoka Jamhuri ya Watu wa Luhansk, eneo ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine.
-
Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida
Jul 03, 2022 03:23Mjumbe mwanamke wa chama cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington ya kuipa Ukraine msaada mkubwa wa kijeshi na kuisaidia nchi hiyo katika kile alichokiita vita vya niaba dhidi ya Russia.
-
Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine
Jul 01, 2022 05:43Iran imesisitiza dhamira yake ya kuchangia katika utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo unaotokota nchini Ukraine, ambao sasa unaingia mwezi wa tano.
-
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine
Jun 30, 2022 20:33Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
Putin kufanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu Russia ilipoanzisha vita dhidi ya Ukraine
Jun 27, 2022 03:13Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa rais Vladimir Putin wa nchi hiyo atafanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine kwa kutembelea nchi mbili za eneo la Asia ya Kati.
-
New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani Ukraine
Jun 26, 2022 23:28Gazeti la New York Times linalochapishwa nchini Marekani limefichua kuhusu harakati za siri zinazofanywa na Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) na kikosi maalumu cha wanajeshi wa nchi hiyo huko Ukraine.
-
UN: Zaidi ya watu milioni 7 wamekuwa wakimbizi nje ya Ukraine mbali na wakimbizi wa ndani
Jun 20, 2022 07:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vita vya Ukraine ni moja ya sababu za ongezeko la wakimbizi ulimwenguni na kwamba hadi hivi sasa mamilioni ya watu wameshakuwa wakimbizi kutokana na vita hivyo.