-
Indhari ya UN baada ya Saudia kuwafukuza nchini humo raia wa Ethiopia
Apr 14, 2020 08:03Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, hatua ya watawala wa Riyadh ya kuwatimua nchini Saudi Arabia wafanyakazi wahajiri raia wa Ethiopia itasababisha kuenea na kusambaa virusi vya Corona.
-
UN yataka kuachiwa haraka iwezekanavyo kiongozi wa upinzani wa Mali aliyetekwa nyara
Apr 08, 2020 03:36Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Soumaila Cisse kiongozi wa upinzani wa nchini Mali aliyetekwa nyara. Baraza hilo limezitolea wito serikali ya Mali na makundi yenye silaha ya nchi hiyo kuharakisha utekelezaji wa makubaliano ya amani ya mwaka 2015.
-
Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo
Apr 03, 2020 23:43Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.
-
Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU
Apr 01, 2020 05:11Tangu mwezi Machi 2015, Saudi Arabia iliunda muungano kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kuanzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hadi sasa makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameshauawa shahidi na kujeruhiwa.
-
UN: Dola trilioni mbili na nusu zinahitajika kukabiliana na athari za kijamii na kiuchumi za corona katika nchi zinazoendelea
Mar 31, 2020 21:54Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa dola trilioni mbili na nusu zinahitajika ili kuzisaidia nchi zinazoendelea ambako theluthi mbili ya watu wote duniani wanaishi ili kuhimili athari za kijamii na kiuchumi kutokana na janga la virusi vya corona, COVID-19.
-
Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
Mar 27, 2020 05:25Kuendelea vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa ya utawala wa Trump katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran sambamba na udharura wa kukabiliana na ugonjwa huo angamizi kumepelekea jamii ya kimataifa iwasilishe maombi ya kutaka vikwazo hivyo viondolewa mara moja.
-
Barua ya nchi 8 kwa Katibu Mkuu wa UN: Vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa janga la corona
Mar 26, 2020 03:43Wawakilishi wa Iran, Russia, China, Cuba, Korea Kaskazini, Iraq, Venezuela na Nicaragua katika Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo, ambapo mbali na kuashiria kuwa corona ni adui wa pamoja wa nchi zote, wametahadharisha kwamba, vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa maambukizi ya kirusi hicho.
-
Katibu Mkuu wa UN: Kirusi cha corona ni tishio kwa 'binadamu wote kwa ujumla wao'
Mar 26, 2020 03:32Katbu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezindua kampeni ya ombi la kuchangia dola bilioni mbili za msaada wa kimataifa wa huduma za kibinadamu kwa ajili ya nchi zilizo masikini zaidi ili kuziwezesha kupambana na janga la kirusi cha corona, huku idadi ya vifo vinavyosababishwa na kirusi hicho katika nchi za Italia na Uhispania ikizidi kuongezeka.
-
Yemen yakaribisha uamuzi wa muungano wa kijeshi wa Saudia wa kuafiki kusitisha mapigano
Mar 26, 2020 03:29Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekaribisha uamuzi uliotangazwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wa kuafiki pendekezo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kusitisha vita na kupunguza mivutano nchini Yemen ili kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya kirusi cha corona.
-
Kukaribisha Umoja wa Mataifa makubaliano ya usitishaji vita katika vita vya ndani nchini Libya
Mar 24, 2020 09:00Vita vya ndani nchini Livya viliibua wasiwasi mkubwa kufuatia mashambulio ya mara kwa mara ya Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na jenerali Khalifa Haftar yaliyoanza Aprili mwaka jana kwa shabaha ya kuiangusha Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa.