-
Wapiganaji wa Haftar wapuuza mwito wa UN, waendelea kumwaga damu Libya
Mar 24, 2020 03:28Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kuuawa watu 6 katika mashambulizi ya roketi ya kundi la wanamgambo linalojiita jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar jana Jumatatu viungani mwa mjini mkuu Tripoli.
-
Guterres ataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Mar 21, 2020 22:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna haja ya kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, vikwazo hivyo vimekuwa kizingiti katika jitihada za Jamhuri ya Kiislamu za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na kirusi cha Corona.
-
UN yalaani mauaji ya wasichana na wanawake mjini Tripoli, Libya
Mar 20, 2020 08:36Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi la mabomu katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ambalo liliua na kujeruhi watoto wa kike na wanawake kadhaa.
-
Umoja wa Mataifa wasema Afghanistan ndiyo nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani
Mar 17, 2020 23:39Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Watoto, ameitaja Afghanistan kuwa nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani.
-
Iraq yaishtaki Marekani Baraza la Usalama baada ya kushambulia vituo vya jeshi la nchi hiyo
Mar 17, 2020 12:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imeishtaki Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya jeshi la nchi hiyo kushambulia kambi za jeshi na askari polisi wa Iran.
-
UN: Corona itadhibitiwa kwa kutumia mantiki, si kwa kueneza taharuki
Mar 15, 2020 23:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema dunia itafanikiwa katika vita dhidi ya ugonjwa hatari wa Covid-19 (Corona) kwa kutumia mantiki, busara na tahadhari na wala sio kwa kueneza hofu na taharuki.
-
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ajiuzulu
Mar 03, 2020 03:55Ghassan Salamé, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, huku mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ukishtadi.
-
Indhari ya UN kuhusu kubadilika mzozo wa Libya kuwa vita vya kieneo
Mar 01, 2020 20:50Licha ya mazungumzo na juhudi za kimataifa katika wiki za hivi karibuni kwa ajili ya kuhitimisha vita nchini Libya, lakini mapigano yamezidi kuongezeka na sasa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika imegeuka kuwa ulingo wa vita vya niaba.
-
Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Somalia washirikiane
Feb 25, 2020 04:21Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia ametoa mwito kwa viongozi wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufanya kazi bega kwa bega na kuwa na ushirikiano wa karibu kwa lengo la kuhakikisha kuwa amani na uthabiti vinarejea nchini humo.
-
UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini
Feb 23, 2020 10:06Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) na Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Afrika (UNHCR) zimepongeza hatua ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na shauku huko Sudan Kusini.