-
Watoto 19 wa Yemen ni miongoni mwa waliouawa katika shambulizi la anga la Saudia
Feb 20, 2020 23:12Umoja wa Mataifa umesema watoto 19 ni miongoni mwa makumi ya watu waliouawa katika shambulizi la anga la hivi karibuni la muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Guterres ataka kutekelezwa azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Kashmir
Feb 20, 2020 08:23Katika siku ya mwisho ya safari yake nchini Pakistan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekumbusha kadhia ya eneo la Kashmir na kuitaka serikali ya India iheshimu azimio la baraza la Usalama la umoja huo kuhusiana na Kashmir.
-
Russia yaitisha kikao cha dharura cha UN kujadili hatua ya Marekani ya kumnyima viza mjumbe wake
Feb 20, 2020 03:48Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika kikao cha dharura cha umoja huo kwa ajili ya kujadili tabia ya Marekani ya kuwanyima viza ya kuingia nchini humo wawakilishi na wajumbe wa nchi mbalimbali kwa ajili ya kushiriki katika mikutano na vikao vya mashirika ya Umoja wa Mataifa.
-
Umoja wa Mataifa wataka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji ya hivi karibuni nchini Cameroon
Feb 19, 2020 07:15Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Cameroon ifanye uchunguzi kuhusiana na mauaji ya hivi karibuni katika jimbo linalozungumza Kiingereza katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ambapo watu wasioungua 22 waliuawa kikatili wakiwemo watoto wadogo na wanawake wawili wajawazito.
-
Serikali ya Libya yasimamisha mazungumzo ya amani baada ya Haftar kushambulia bandari
Feb 19, 2020 00:25Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya (GNA) inayotambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa haitaendelea kushiriki mkutano wa amani wa UN mjini Geneva, baada ya kukiukwa makubaliano dhaifu ya usitishaji vita.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya
Feb 17, 2020 00:02Afisa wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amekosoa ukiukwaji wa vikwazo vya siliha viliyowekwa na umoja huo dhidi ya Libya.
-
Katibu Mkuu wa UN: Radio ni chombo muhimu kinachounganisha jamii
Feb 14, 2020 08:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Radio inasalia kuwa chombo muhimu katika jamii kinachowaleta watu pamoja.
-
UN yayaweka kwenye orodha nyeusi mashirika yanayounga mkono ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel
Feb 13, 2020 03:55Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa orodha nyeusi inayohusisha mashirika na makampuni yenye uhusiano wa kibiashara na vitongoji haramu vya utawala wa Kizayuni wa Israel vilivyojengwa katika ardhi za Palestina.
-
Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
Feb 05, 2020 04:23Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
-
UN: Tunahitaji dola milioni 76 kupambana na nzige waliovamia Afrika Mashariki
Jan 30, 2020 23:12Umoja wa Mataifa umesema unahitaji dola milioni 76 haraka iwezekanavyo za kudhibiti mlipuko wa nzige wa jangwani waliovamia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.