-
UN: Watoto ndio wahanga wakuu wa mapigano eneo la Sahel
Jan 28, 2020 08:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa mamia ya watoto waliuawa mwaka jana katika mapigano na ghasia zinazoendelea kushuhudiwa katika eneo la Sahel la barani Afrika.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria
Jan 27, 2020 00:51Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.
-
UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia
Jan 26, 2020 09:28Umoja wa Mataifa umesema raia wa Sudan Kusini ndio wanaounda idadi kubwa ya wakimbizi nchini Ethiopia.
-
Mgogoro wa elimu waishtua UN, watoto milioni 258 hawaendi shule
Jan 25, 2020 04:08Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna mgogoro mkubwa wa elimu duniani hivi sasa, na kwamba watoto zaidi ya milioni 258 walio chini ya umri wa miaka 17 hawaendi shule.
-
UN: Mazungumzo ya amani Somalia ni ishara nzuri
Jan 09, 2020 21:05Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia ambaye pia ni mkuu wa mpango wa umoja huo nchini humo UNSOM jana aliliutembelea mji wa Hargesa, makao makuu ya eneo lililojitangazia uhuru la Somaliland nchini Somalia na kukutana na viongozi wa eneo hilo kujadili uchaguzi na maendeleo.
-
Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya Haftar dhidi ya raia huko Libya
Dec 29, 2019 23:44Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametoa taarifa jana usiku akilaani mashambulizi ya anga yanayofanywa na kundi kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya dhidi ya raia wa nchi hiyo chini ya uongozi wa Khalifa Haftar.
-
Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani
Dec 26, 2019 22:54Kwa kuzingatia kuwa Marekani ndiko yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo ya kibeberu daima imekuwa ikiwawekea vikwazo wanadiplomasia na maafisa wa ngazi za juu wa nchi zinazopinga siasa za Washington, wanaoazimia kusafiri nchini humo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kikazi.
-
UN na jumuiya za kimataifa zapinga hukumu ya kimaonyesho ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Dec 25, 2019 03:37Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia una historia ndefe ya ukiukaji wa haki za binadamu na kukandamiza wapinzani wake ndani naa nje ya nchi hiyo. Miongoni mwa vielelezo vya wazi vya ukatili na ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu wa Saudia ni mauaji ya kutisha yaliyofanywa na maajenti wa utawala huo dhidi ya mwandishi na mpiznni wa serikali ya Riyadh, Jamal Khashoggi.
-
Jamii ya kimataifa yapinga hukumu ya kimaonyesho kuhusu mauaji ya Khashoggi
Dec 24, 2019 03:09Umoja wa Mataifa umetilia mkazo udharura wa kufanyika uchunguzi huru kuhusu mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.
-
Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani
Dec 20, 2019 02:46Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.