-
Kan'ani Chafi: Wanaojifanya watetezi wa haki za wananchi wa Iran wakomeshe vikwazo vyao vya miongo kadhaa
Sep 26, 2022 07:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: wanaojidai kutetea haki za wananchi wa Iran wanapaswa waweke kando nara zao hizo za uongo na zilizochakaa, na badala yake wahitimishe vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinaadamu walivyoliwekea taifa la Iran kwa miongo kadhaa.
-
Kuendelea mgogoro wa nishati barani Ulaya
Sep 13, 2022 21:41Nchi za Ulaya ambazo kwa sasa zinakabiliwa na tatizo kubwa la kusambaza gesi na kudhibiti bei ya nishati, zinakumbwa na changamoto mbalimbali za kisiasa na kijamii zinazotokana na tatizo hilo.
-
Kwa mara nyingine Russia yazionya nchi za Ulaya kuhusu misaada ya kijeshi kwa Ukraine
Sep 06, 2022 06:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia kwa mara nyingine tena imetoa onyo kali kwa Umoja wa Ulaya kuhusu madhara ya misaada yao ya kijeshi kwa Ukraine.
-
Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia
Aug 29, 2022 02:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland amesema kuwa, kuna wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wanapinga vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.
-
Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran
Aug 25, 2022 03:36Edward "Ned" Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya.
-
Borrell: Wengi wanakubaliana na mapendekezo ya Umoja wa Ulaya kuhusu JCPOA
Aug 23, 2022 06:02Josepo Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, walio wengi duniani wanakubaliana na mapendekezo ya umoja huko kuhusu nanma ya kufufuliwa mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kwa jina la JCPOA.
-
Vita vya Ukraine na kuongezeka vibaya mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya
Aug 20, 2022 22:07Hali mbaya ya kiuchumi barani Ulaya inazidi kuwa mzigo mkubwa zaidi na zaidi kwa kadiri siku zinavyopita kiasi kwamba, mfumuko wa bei nchini Uingereza umepanda kwa asilimia 10 ikiwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 1982 huku Waziri Mkuu wa Sweden akizungumzia uchumi za enzi za vita barani Ulaya.
-
Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi
Jul 24, 2022 03:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.
-
Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu
Jul 16, 2022 23:25Nchi za Magharibi zinaendelea kustafidi na wenzo wa mashinikizo kwa Russia kupitia njia mbalimbali kama kuiwekea nchi hiyo vifurushi vya vikwazo vipya kufuatia hatua yake ya kuanzisha vita dhidi ya Ukraine; ambapo Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uuzaji nje wa dhahabu kutoka Russia utajumuishwa katika kalibu ya vikwazo vipya vya umoja huo.
-
Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya
Jul 13, 2022 22:48Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.