-
Ulaya yalegeza msimamo katika vikwazo vya mafuta ilivyoiwekea Russia
Jun 25, 2022 21:58Shirika la habari za uchumi la Bloomberg limeripoti kuwa, ukiwa haujatimia hata mwezi mmoja tangu Umoja wa Ulaya ulipoiwekea Russia vikwazo vya mafuta, bara hilo limeongeza kiwango cha mafuta linachonunua kwa Moscow.
-
Kuendelea vitendo visivyo vya kibinadamu vya madola ya Ulaya dhidi ya wahajiri
Jun 11, 2022 22:03Baada ya serikali ya Uingereza kuchukua uamuzi wa kuwahamishia nchini Rwanda wakimbizi wanaoomba hifadhi nchini Uingereza, sasa mahakama ya nchi hiyo nayo imeunga mkono na kuidhinisha uamuzi huo.
-
Umoja wa Ulaya waipendelea Uhispania, waionya Algeria
Jun 11, 2022 02:55Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Barrell ameonesha waziwazi kuipendelea Uhispania katika mgogoro wake na Algeria kwa kuionya Algiers kuhusu kusimamisha ushirikiano wake na Madrid.
-
Umoja wa Ulaya washindwa kuiwekea Russia vikwazo vya mafuta; hitilafu zaongezeka
May 30, 2022 06:32Jitihada za Umoja wa Ulaya za kufikia muafaka kuhusu kutekeleza awamu ya sita ya vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kwani Hungary ni moja ya wapinzani wakubwa zaidi wa mpango huo. Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya katika kikao chao maalumu cha Jumapili walijadili mpango wa kuzuia meli za mafuta za Russia kuingiza mafuta Ulaya lakini waruhusu mafuta hayo yaingie kwa mabomba. Hata hivyo mazungumzo hayo yalimalizika bila natija.
-
Vigezo vya nyuso mbili vya nchi za Ulaya katika suala la wakimbizi
May 18, 2022 21:42Huku mgogoro wa kiuchumi na kisiasa ukiendelea katika baadhi ya nchi za Asia na huku vita baina ya Ukraine na Russia navyo vikiendelea, wimbi la wakimbizi katika mipaka ya nchi za Ulaya nalo limeongezeka.
-
Kushindwa Umoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia
May 17, 2022 22:34Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kikao cha mawaziri wa umoja huo mjini Brussels Ubelgiji kwamba, hakuna uwezekano wa kufikiwa makubaliano kuhusiana na kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya Russia.
-
Kuongezeka upinzani barani Ulaya dhidi ya kuwekewa vikwazo vya mafuta Russia
May 05, 2022 22:07Licha ya vitisho vya Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia katika fremu ya kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya nchi hiyo, lakini jambo hilo linaonekana kukabiliwa na upinzani mkali barani humo na hata baadhi ya viongozi wa Marekani kutoa onyo dhidi ya hatua hiyo.
-
Putin atia saini amri ya kuiwekea vikwazo vya ulipizaji kisasi kambi ya Magharibi
May 04, 2022 21:45Ikulu ya Kremlin imetangaza Jumanne kuwa, Rais Vladimir Putin wa Russia ametia saini amri ya kukabiliana na 'hatua zisizo za kirafiki za baadhi ya nchi za kigeni na mashirika ya kimataifa." Dikrii hiyo inasisitiza hatua za kulipiza kisasi dhidi ya nchi ambazo zimetajwa kuwa 'zisizo za kirafiki'. Kwa mujibu wa amri hiyo Russia itaziwekea vikwazo baadhi ya nchi na taasisi za kimataifa.
-
Putin atia saini amri ya kuziwekea vikwazo nchi za Ulaya na Marekani
May 03, 2022 22:05Ikulu ya Russia (Kremlin) imetangaza kuwa, Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo ametia saini amri ya kuchukuliwa hatua kali za kulipiza kisasi vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Umoja wa Ulaya wachochea vita Ukraine: Mchezo wa Brussels kwenye uwanja wa Washington
Apr 11, 2022 00:32Huku akisema kuwa mvutano kati ya Ukraine na Russia utamalizikia tu katika medani ya vita, Joseph Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kutatuliwa kijeshi mzozo uliopo kati ya pande hizo.