-
Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake
Feb 22, 2025 11:58Bunge la Rwanda limekosoa vikali azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya, likidai kuwa Rwanda linahusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wafanyakazi wa EU walalamikia Brussels kuiunga mkono Israel
Feb 22, 2025 11:47Makumi ya wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya wamekusanyika Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji, kulalamikia uungaji mkono wa jumuiya hiyo kwa utawala wa Israel.
-
China yaiambia G20: Lazima dunia iisikilize Afrika, iyape uzito masuala yanayoitia wasiwasi
Feb 22, 2025 05:55Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema, lazima dunia isikilize "kile Afrika inachosema" na kuuchukulia wasiwasi ilionao Afrika "kwa uzito". Wang ameyasema hayo katika hotuba yake mbele ya hadhara ya washiriki wa mkutano wa Kundi la Mataifa 20 (G20) unaofanyika mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
-
Wabunge EU: Ulaya haiwezi kuendelea kuitegemea Marekani
Feb 19, 2025 12:04Wabunge wa Bunge la Ulaya wamesema bara hilo haliwezi kuendelea kuitegemea kikamilifu Marekani kwa ulinzi; na kutoa wito wa kuimarisha uwezo wa kiulinzi wa Ulaya sambamba na kuendelea kuiunga mkono Ukraine.
-
Mahathir azikosoa EU, US kwa mauaji ya kimbari Gaza, asema 'Ustaarabu umefeli'
Feb 15, 2025 07:16Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amekosoa vikali uungaji mkono wa Marekani na Umoja wa Ulaya kwa Israel akisisitiza kuwa, kuunga mkono kwa hali na mali mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza ni jambo la 'kuchukiza na kukirihisha.'
-
Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel
Feb 06, 2025 02:32Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.
-
Afkham: Azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Iran halina msingi wa kisheria
Jan 25, 2025 11:21Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Masuala ya Wanawake ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu halina msingi wowote wa kisheria na linaonyesha tabia ya uingiliaji ya chombo hicho.
-
Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani
Jan 03, 2025 03:46Viongozi wa nchi za Ulaya, wameendelea kuonyesha sura zao za kinafiki, kwa kukaa kimya kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza, huku wakikimbilia kutuma ujumbe wa rambirambi kutokana na hujuma ya gari iliyotokea Marekani.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU atoa taarifa kuhusu Syria
Dec 16, 2024 07:23Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa kipaumbele cha Ulaya ni kuhakikisha amani inakuwepo katika eneo na kwamba umoja huo utashirikiana na wadau wote katika eneo zima ikiwemo Syria katika uwanja huo.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia
Dec 09, 2024 03:09Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.