Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Suu Kyi apokonywa tuzo nyingine ya kifakhari, mara hii na Bunge la EU

    Suu Kyi apokonywa tuzo nyingine ya kifakhari, mara hii na Bunge la EU

    Sep 11, 2020 00:14

    Bunge la Umoja wa Ulaya limefuta jina la Aung San Suu Kyi, kiongozi wa chama tawala nchini Myanmar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo katika orodha ya tuzo ya kifakhari ya taasisi hiyo ya kutunga sheria ya Ulaya.

  • Indhari ya Umoja wa Ulaya kwa Serbia na Kosovo kuhusu kuhamishia na kufungua  balozi zao Quds

    Indhari ya Umoja wa Ulaya kwa Serbia na Kosovo kuhusu kuhamishia na kufungua balozi zao Quds

    Sep 08, 2020 06:36

    Moja ya hatua zilizochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani katika kutoa huduma kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuutambua mji wa Baytul-Muqaddas kama mji mkuu wa utawala huo ghasibu na kuhamishia ubalozi wake katika mji huo Mei mwaka 2018, hatua ambayo ilikabiliwa na upinzani wa walimwengu.

  • Tahadhari ya Josep Borrell kwa Uturuki na kushadidi mivutano baina ya EU na Ankara

    Tahadhari ya Josep Borrell kwa Uturuki na kushadidi mivutano baina ya EU na Ankara

    Sep 07, 2020 22:04

    Kushadidi hitilafu baina ya Ugiriki na Uturuki juu ya suala la kutafuta mafuta na gesi katika Bahari ya Aegean ambako kumeziweka nchi hizo mbili katika ncha ya kutumbukia kwenye vita, kumefuatiwa na ukosoaji wa Umoja wa Ulaya ambao umetoa tahadahri kali kwa serikali ya Uturuki.

  • Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia

    Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia

    Sep 04, 2020 02:52

    Umoja wa Ulaya na Marekani zimekuwa zikiishinikiza Russia kupitia njia ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Moscow na kutumia madai ya kutetea haki za binadamu.

  • Josep Borell ataka kuchukuliwa hatua za pamoja kimataifa kukabiliana na corona

    Josep Borell ataka kuchukuliwa hatua za pamoja kimataifa kukabiliana na corona

    Sep 01, 2020 08:01

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa kuna udharura wa kuchukuliwa hatua za pamoja kimataifa kwa ajili ya kupambana na virusi vya corona na kuzisaidia jamii zilizoathirika khususan nchi zinazoendelea na maeneo yaliyokumbwa na vita.

  • Kupinga Umoja wa Ulaya hatua ya Marekani ya kutaka kutumia ‘Utaratibu wa Kifyatuo’

    Kupinga Umoja wa Ulaya hatua ya Marekani ya kutaka kutumia ‘Utaratibu wa Kifyatuo’

    Aug 18, 2020 06:24

    Kushindwa kwa fedheha Marekani katika kupasishwa azimio ililopendekeza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kumeisukuma Washington na kuifanya ifikirie kutumia nyenzo nyingine kama utaratibu wa kusuluhisha mzozano katika JCPOA, unaojulikana kama "Utaratibu wa Kifyatuo", kwa kimombo "Trigger Mechanism".

  • Kuongezeka mvutano kati ya Uturuki na Ufaransa mashariki mwa Bahari ya Mediterania

    Kuongezeka mvutano kati ya Uturuki na Ufaransa mashariki mwa Bahari ya Mediterania

    Aug 14, 2020 23:37

    Umoja wa Ulaya umetoa radiamali hasi kuhusu hatua ya Uturuki ya kutekeleza miradi ya kugundua mafuta na gesi katika maji ya mashariki mwa Bahari ya Mediterania.

  • Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya

    Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya

    Aug 13, 2020 22:21

    Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa kali na za uhasama dhidi ya China ambapo amekuwa akiendesha vita vya kisiasa, kibiashara na kiusalama dhidi ya nchi hiyo muhimu ya Asia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya

    Aug 13, 2020 02:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameanza duru mpya ya safari barani Ulaya baada ya safari nyingine wiki tatu zilizopita. Mara hii Pompeo anatembelea nchi nne za Ulaya ya Kati na Mashariki.

  • EU yaikosoa Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    EU yaikosoa Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    Aug 10, 2020 20:58

    Umoja wa Ulaya umeikosoa Saudi Arabia kutokana na kamatakamata na vifungo vya muda mrefu dhidi ya watetezi wa haki za wanawake nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS