-
Russia yaapa kilipiza kisasi vikwazo vya Umoja wa Ulaya
Jul 31, 2020 22:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa nchi hiyo itajibu mapigo ya vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya shirika la ujasusi la Russia.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya China, siasa za kundumakuwili za Brussels
Jul 29, 2020 22:03Ikiwa ni katika kudumishwa siasa za mashinikizo za nchi za Magharibi dhidi ya China, Umoja wa Ulaya kama ilivyofanya Marekani, umeiwekea vikwazo Beijing kwa kisingizio cha kutoheshimu haki za binadamu.
-
Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo
Jul 20, 2020 02:17Umoja wa Ulaya (EU) na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Ujerumani ni pande zilizokuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Borrell: Mapatano ya Trump hayawezekani, JCPOA ilindwe
Jul 19, 2020 08:08Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine tena amesisitizia udharura wa kulindwa na kuheshimiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA, na kueleza bayana kuwa ni jambo lisiloyumkinika kufikiwa kile kinachoitwa "Mapatano ya Tump."
-
Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina
Jul 16, 2020 03:29Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kumega asilimia 30 ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ulizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ulizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.
-
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiri kuhusu msimamo dhaifu wa EU mkabala na mgogoro wa Libya
Jul 15, 2020 02:56Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa Umoja wa Ulaya umedhihirisha msimamo dhaifu katika kushughulikia mgogoro wa Libya.
-
Mawaziri wa EU: Mwanya wa kuzuia uporaji wa ardhi za Wapalestina unazidi kuwa finyu
Jul 14, 2020 03:40Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wametoa mwito kwa EU-mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Israel-kuchukua hatua za makusudi na haraka kuzuia mpango wa Tel Aviv wa kutwaa ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jul 09, 2020 21:54Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.
-
EU kuiadhibu Israel iwapo itatwaa ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi
Jul 06, 2020 22:00Umoja wa Ulaya (EU) umetahadharisha kwamba, iwapo Israel itatekeleza uamuzi wake wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi, mawaziri wa nambo ya Nje wa nchi wanachama katika umoja huo hawatafanya safari huko Israel.
-
Borrel asema JCPOA ni mafanikio ya kihistoria
Jul 04, 2020 03:29Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema binafsi anaitakidi kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni mafanikio makubwa ya kihistoria yatakayosaidia katika mchakato wa kuangamiza silaha hatari za nyuklia duniani.