-
Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi
Jun 23, 2020 02:37Msemaji wa mkuu wa siasa za nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kwamba mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kwa njia ya kijeshi.
-
Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa
Jun 12, 2020 22:35Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza ushari wake wa kutojali, kuponda na kutoa vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa. Hadi hivi sasa Trump ameshaitoa Marekani kwenye taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa kama vile UNESCO na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na hivi sasa ametishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Katibu Mkuu wa NATO akiri: Mlingano wa nguvu duniani umebadilika
Jun 12, 2020 03:32Marekani ambayo ni kinara wa nchi za Magharibi imekuwa ikipinga suala la kuongezeka nguvu, ustawi na satua ya China katika uwanja wa kimataifa na imeitambua nchi hiyo kuwa ni tishio kwa ulimwengu wa Magharibi ikizitaka nchi za Ulaya kupunguza uhusiano wao na Beijing.
-
Sisitizo la Borell la kuondoka Marekani JCPOA na madai yasiyo na msingi ya serikali ya Trump
Jun 11, 2020 00:16Rais Donald Trump wa Marekani ni mmoja wa wapinzani wakubwa wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na ambaye aliitoa nchi hiyo katika mapatano hayo ya kimataifa tarehe 8 mwezi Mei 2018.
-
Jitihada mpya za Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jun 05, 2020 22:23Moja kati ya vipengee muhimu vya mapatano ya nyuklia ya maarufu kwa kifupi ka jina la JCPOA ni azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lina kipengee kuhusu kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran miaka mitano baada ya kuanza kutekelezwa mapatano hayo.
-
EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran
May 30, 2020 03:41Umoja wa Ulaya na China zimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kufuta misamaha ya vikwazo inayohusiana na makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.
-
Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa
May 28, 2020 04:52Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nyingi tofauti hususan wakati huu wa mgogoro wa maambukizi ya corona. Hivi sasa bara la Ulaya limekumbwa na mgogoro ambao haujawahi kutokea barani humo. Si hayo tu, lakini mivutano iliyodhihiri zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya wakati huu wa corona, ni msiba mwingine uliolikumba bara hilo na kuzidi kuonesha udhaifu wake katika nyuga tofauti hasa za kiafya na kiuchumi na utegemezi wa nchi hizo kwa mataifa mengine kama China.
-
Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani
May 26, 2020 23:28Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.
-
Umoja wa Ulaya: Tumo katika kushuhudia kusambaratika nguvu za Marekani duniani
May 25, 2020 22:26Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amegusia kumalizika zama za udhibiti wa kila kitu wa Marekani duniani na ameutaka Umoja wa Ulaya kubuni mikakati na stratijia mpya na makini za kuamiliana na China.
-
Mjumbe wa UN: Israel inapaswa kuacha vitisho vya 'kupora ardhi za Wapalestina'
May 21, 2020 03:18Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utupilie mbali mpango wake wa kunyakua na kuunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zingine za Palestina unazozikalia kwa mabavu.