Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran

    EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran

    May 30, 2020 03:41

    Umoja wa Ulaya na China zimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kufuta misamaha ya vikwazo inayohusiana na makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.

  • Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa

    Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa

    May 28, 2020 04:52

    Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nyingi tofauti hususan wakati huu wa mgogoro wa maambukizi ya corona. Hivi sasa bara la Ulaya limekumbwa na mgogoro ambao haujawahi kutokea barani humo. Si hayo tu, lakini mivutano iliyodhihiri zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya wakati huu wa corona, ni msiba mwingine uliolikumba bara hilo na kuzidi kuonesha udhaifu wake katika nyuga tofauti hasa za kiafya na kiuchumi na utegemezi wa nchi hizo kwa mataifa mengine kama China.

  • Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani

    Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani

    May 26, 2020 23:28

    Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.

  • Umoja wa Ulaya: Tumo katika kushuhudia kusambaratika nguvu za Marekani duniani

    Umoja wa Ulaya: Tumo katika kushuhudia kusambaratika nguvu za Marekani duniani

    May 25, 2020 22:26

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amegusia kumalizika zama za udhibiti wa kila kitu wa Marekani duniani na ameutaka Umoja wa Ulaya kubuni mikakati na stratijia mpya na makini za kuamiliana na China.

  • Mjumbe wa UN: Israel inapaswa kuacha vitisho vya 'kupora ardhi za Wapalestina'

    Mjumbe wa UN: Israel inapaswa kuacha vitisho vya 'kupora ardhi za Wapalestina'

    May 21, 2020 03:18

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utupilie mbali mpango wake wa kunyakua na kuunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zingine za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Indhari ya Josep Borrell kwa Israel kuhusu kuendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    Indhari ya Josep Borrell kwa Israel kuhusu kuendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    May 19, 2020 22:39

    Katika fremu ya malengo yake ya muda mrefu, utawala haramu wa Israel unakusudia kupora sehemu kubwa ya ardhi za Palestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuziunganisha na ardhi nyingine za Palestina unazozikali kwa mabavu.

  • Borrell: EU haitaitambua hatua ya upande mmoja ya Israel ya kuambatisha ardhi inayoikalia kwa mabavu

    Borrell: EU haitaitambua hatua ya upande mmoja ya Israel ya kuambatisha ardhi inayoikalia kwa mabavu

    May 19, 2020 10:57

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya utekelezaji wa uamuzi wa "upande mmoja" wa kuambatisha na kile kinachoitwa Israel baadhi ya sehemu za ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu akisisitiza kuwa jumuiya hiyo yenye nchi wanachama 27 haitayatambua mabadiliko yoyote ya aina hiyo yanayokinzana na muundo wa mipaka ya mwaka 1967.

  • Wanadiplomasia wa EU: Marekani haina haki ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Wanadiplomasia wa EU: Marekani haina haki ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    May 06, 2020 03:31

    Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamesema kwa kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran, Marekani ilipoteza haki yake ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.

  • Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo

    Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo

    Apr 26, 2020 20:10

    Serikali ya Rais Donald Trump imekuwa ikichukua hatua zisizo za kawaida katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni ambapo kati ya hatua hizo ni kuafiki rasmi suala la kuunganishwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo bandia.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yapinga mpango wa EU wa kuzuia kuingizwa silaha nchini humo

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yapinga mpango wa EU wa kuzuia kuingizwa silaha nchini humo

    Apr 25, 2020 08:43

    Vita vya ndani nchini Libya vilivyoanza baada ya kung'olewa madarakati dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Muammar Gaddafi vimeshika mwelekeo unaotia wasiwasi mkubwa zaidi tangu Aprili mwaka jana 2019 kufuatilia mashambulizi ya wapiganaji wa linalojiita jeshi la taifa la Libya chini ya uongozi wa Khalifa Haftar, lengo likiwa ni kuudhibiti mji mkuu, Tripoli na kuing'oa madarakani Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS