-
Mtihani wa Corona na sisitizo la Italia la kutokuwepo mshikamano ndani ya Umoja wa Ulaya
Apr 22, 2020 05:47Kuenea kwa kiasi kikubwa virusi vya Corona barani Ulaya na mgogoro unaotokana na janga hilo, kumezifanya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya EU kukosoa baadhi ya sheria zake na kusema kuwa haujakuwa na radiamali wala kuonyesha mshikamano uliotarajiwa kuhusiana na janga hilo.
-
Baada ya janga la corona Wataliano wataka kujiondoa Umoja wa Ulaya
Apr 20, 2020 03:30Uchunguzi mpya wa maoni nchini Italia umebaini kuwa aghalabu ya watu wa nchi hiyo wanataka nchi yao iondoke katika Umoja wa Ulaya kutokana na utendaji mbovu wa umoja huo katika kipindi hiki cha janga la corona nchini humo.
-
Tahadhari ya maafisa wa Italia kuhusu uwezekano wa kusambaratika EU
Apr 14, 2020 01:59Maambukizi ya virusi vya corona na kutokuwepo ushirikiano kwa ajili ya kudhibiti kasi ya maambukizi ya virusi hivyo katika nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) vimetia mashakani mustakbali wa umoja huo na malengo ya kuasisiwa kwake.
-
Jitihada za Umoja wa Ulaya za kulinda mshikamano na uchumi wa pamoja
Apr 12, 2020 03:06Kutokana na kuendelea janga la ugonjwa wa corona barani Ulaya na kuongezeka wasiwasi kuhusu taathira mbaya za kiuchumi na kisiasa kutokana na janga hilo, wakuu wa Umoja wa Ulaya wametenga mfuko wa dharura wa Euro billioni 500 kwa ajili ya kukabiliana na madhara yanayotokana na ugonjwa huo angamizi.
-
Iran kurutubisha urani hadi SWU milioni moja iwapo EU itafeli kutoa dhamana ya kutekeleza JCPOA
Apr 09, 2020 03:52Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imesema Tehran itaendelea kurutubisha urani kwa kiwango inachotaka, lakini inaweza kuangalia upya urutubishaji huo iwapo tu Umoja wa Ulaya utatoa dhamana ya kivitendo ya kuheshimu na kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kuongezeka wasiwasi wa kusambaratika Umoja wa Ulaya
Apr 07, 2020 03:43Kuenea virusi vya corona au kwa jina la kitaalamu COVID-19, na uhaba wa vifaa vya afya na tiba barani Ulaya, kumewapelekea wataalamu na viongozi wengi wa bara hilo kuwa na wasi wasi mkubwa wa kuhatarishwa umoja na mshikamano wa Umoja wa Ulaya.
-
Rais Rouhani: Kuzinduliwa INSTEX ni hatua chanya, lakini haitoshi
Apr 06, 2020 23:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kuzinduliwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni chanya, lakini haitoshi kukidhi maslahi yote ya Iran.
-
Mawaziri wa zamani wa Ujerumani waonya tena juu ya hatari ya kusambaratika Umoja wa Ulaya
Apr 05, 2020 22:02Mawaziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Ujerumani wameonya juu ya uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya na itibari yake kutokana na mgogoro wa virusi vya Corona.
-
Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kupunguza vikwazo dhidi ya Syria, Libya na Yemen
Apr 05, 2020 02:58Kufuatia kuenea janga la corona kote duniani, na pamoja na kuwepo sisitizo la ushirikiano wa kimataifa katika kudhibiti na kupunguza kuenea corona, kuendelea vikwazo vya baadhi ya nchi, ikiwemo Marekani, ni chanzo cha kuvurugika vita dhidi ya corona. Vikwazo hivyo vimezuia nchi nyingi kupata bidhaa na vifaa vya kiafya vinavyohitajika kukabiliana na janga la corona.
-
Tahadhari yatolewa juu ya uwezekano wa kugawika Umoja wa Ulaya kufuatia Corona
Apr 03, 2020 07:28Viongozi wa Umoa wa Ulaya, kwa kuzingatia kuongezeka maambukizi ya virusi vya Corona, wametoa tahadhari juu ya hatari ya kugawanyika umoja huo.