-
UNESCO yathibitisha tena kuwa msikiti wa Al-Aqsa ni milki ya Waislamu
Oct 19, 2016 04:04Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limethibitisha tena kwamba msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu ni milki ya Wapalestina.
-
Iran yakaribisha hatua ya UNESCO kuhusiana na Msikiti wa Al-Aqsa
Oct 16, 2016 03:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha hatua ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ya kuthibitisha haki ya wananchi wa Palestina kuhusiana na ardhi na matukufu yao.