Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Uturuki kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya usalama

    Uturuki kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya usalama

    Jun 24, 2022 03:17

    Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema, baada ya kuongeza kiwango cha uwakilishi wa kidiplomasia, nchi yake itaanzisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ripoti: Bin Salman kuwaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina

    Ripoti: Bin Salman kuwaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina

    Jun 22, 2022 23:24

    Tovuti moja imefichua kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Wazayuni kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.

  • Knesset yapiga kura ya kulivunja bunge hilo la utawala wa Kizayuni

    Knesset yapiga kura ya kulivunja bunge hilo la utawala wa Kizayuni

    Jun 22, 2022 23:13

    Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limepiga kura ya kujivunja, na hivyo kuandaa mazingira ya uwezekano wa kurejea madarakani kwa kinara wa chama cha Likud, Benjamin Netanyahu, huku baraza la mawaziri la muungano wa Waziri Mkuu, Naftali Bennett, likiporomoka.

  • Nguvu za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, imejiandaa vilivyo kupambana na Wazayuni

    Nguvu za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, imejiandaa vilivyo kupambana na Wazayuni

    Jun 20, 2022 22:12

    Nguvu za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, angani, ardhini na majini na imejiandaa kikamilifu kupambana na Wazayuni.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni ndiyo sababu ya ugaidi na uharibifu katika eneo hili zima

    Iran: Utawala wa Kizayuni ndiyo sababu ya ugaidi na uharibifu katika eneo hili zima

    Jun 19, 2022 02:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mazungumzo yake na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba kuwepo utawala pandikizi wa Kizayuni katika eneo hili ndiyo sababu ya ukosefu wa utulivu na amani kama ambavyo ndio ulioleta vitendo vya kigaidi na uharibifu katika eneo hili zima.

  • Israel haiwezi kukana kuwa ndiye nduli wa Sabra na Shatila

    Israel haiwezi kukana kuwa ndiye nduli wa Sabra na Shatila

    Jun 19, 2022 02:24

    Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha ripoti maalumu inayothibitisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ndiye nduli wa mauaji ya umati ya Wapalestina katika kambi za wakimbizi za Sabra na Shatila za nchini Lebanon.

  • Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Jun 17, 2022 05:29

    Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.

  • Iran: Hatutoruhusu kufanikiwa njama za Wazayuni za kueneza chuki dhidi yetu

    Iran: Hatutoruhusu kufanikiwa njama za Wazayuni za kueneza chuki dhidi yetu

    Jun 16, 2022 06:13

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haitoruhusu kufanikiwa njama za Wazayuni za kueneza chuki chidi ya Tehran.

  • Human Right Watch: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza ni jinai dhidi ya binadamu

    Human Right Watch: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza ni jinai dhidi ya binadamu

    Jun 15, 2022 23:21

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza huko Palestina unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa israel ni jinai dhidi ya binadamu.

  • Waandishi habari Morocco wapinga uhusiano wa kawaida wa kihabari na Israel

    Waandishi habari Morocco wapinga uhusiano wa kawaida wa kihabari na Israel

    Jun 14, 2022 06:08

    Waandishi wa habari wa Morocco wamepinga kufunguliwa nchini humo ofisi za televisheni ya utawala haramu wa Israel ya i24 na wametaka zifungwa mara moja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS