Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Shirika la Nishati ya Atomiki Iran: Hakuna mada yoyote ya nyuklia nchini ambayo haijatolewa maelezo

    Shirika la Nishati ya Atomiki Iran: Hakuna mada yoyote ya nyuklia nchini ambayo haijatolewa maelezo

    Jun 14, 2022 03:40

    Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran AEOI limetangaza kuwa hakuna mada yoyote ya nyuklia nchini ambayo haijatolewa maelezo; na madai ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA yametokana na taarifa zisizo sahihi na za kubuni ulizopewa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ambao wenyewe unamiliki silaha za nyuklia.

  • Jenerali wa Kizayuni akiri: Israel haitashinda katika vita vijavyo

    Jenerali wa Kizayuni akiri: Israel haitashinda katika vita vijavyo

    Jun 13, 2022 22:50

    Jenerali mmoja wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ameashiria udhaifu wa jeshi la utawala huo na kusisitiza kuwa, endapo hali hiyo haitabadilika, Israel haitashinda katika vita vijavyo.

  • HAMAS: Shambulio la Israel dhidi ya Syria linatokana na kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel

    HAMAS: Shambulio la Israel dhidi ya Syria linatokana na kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Jun 13, 2022 03:30

    Mkuu wa Ofisi ya Mahusiano ya Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, shambulio la utawala haramu wa Israel dhidi ya Syria sababu yake ni kushindwa mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.

  • Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Jun 11, 2022 05:44

    Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.

  • Russia yalaani shambulio la Israel katika uwanja wa ndege wa Damascus Syria

    Russia yalaani shambulio la Israel katika uwanja wa ndege wa Damascus Syria

    Jun 11, 2022 02:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani jinai ya utawala wa Kizayuni ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Safari ya pili ya Bennet nchini Imarati katika kipindi cha miezi sita

    Safari ya pili ya Bennet nchini Imarati katika kipindi cha miezi sita

    Jun 10, 2022 05:47

    Naftali Bennet, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel Alhamisi Juni 10 aliwasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati au UAE) hii ikiwa ni safari yake ya pili nchini humo katika kipndi cha miezi sita.

  • Jihadul-Islami ya Palestina yalaani hatua ya Imarati ya kumpokea waziri mkuu wa Israel

    Jihadul-Islami ya Palestina yalaani hatua ya Imarati ya kumpokea waziri mkuu wa Israel

    Jun 10, 2022 03:05

    Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kumpokea waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Msimamo hafifu na dhaifu wa Mkuu wa IAEA kuhusu hujuma zilizofanywa kwenye vituo vya nyuklia vya Iran

    Msimamo hafifu na dhaifu wa Mkuu wa IAEA kuhusu hujuma zilizofanywa kwenye vituo vya nyuklia vya Iran

    Jun 08, 2022 07:18

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA jana Jumanne alifanyiwa mahojiano makao makuu ya wakala huo mjini Vienna; na moja ya masuali aliyoulizwa ni kuhusu takwa la Iran la kumtaka alaani hujuma zilizofanywa dhidi ya vituo vyake vya nyuklia.

  • Iran: Tutachukua hatua zinazofaa kukabiliana na hatua za kiadui za IAEA

    Iran: Tutachukua hatua zinazofaa kukabiliana na hatua za kiadui za IAEA

    Jun 06, 2022 22:02

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, muswada wa azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kwa Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa haikubaliki kabisa na kwamba Tehran itajibu inavyofaa hatua hiyo ya IAEA.

  • Nabih Berri: Hatutanyamazia kimya uvamizi wa Israel dhidi ya mamlaka ya majini ya Lebanon

    Nabih Berri: Hatutanyamazia kimya uvamizi wa Israel dhidi ya mamlaka ya majini ya Lebanon

    Jun 06, 2022 05:35

    Spika wa Bunge la Lebanon ameashiria hujuma ya utawala haramu wa kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya baharini ya nchi hiyo ya Kiarabu katika Bahari ya Mediterania na kusisitiza kuwa, katuu Lerbanon haiwezi kunyamazia kimya hatua na hujuma hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS