Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Hizbullah yasema imerusha maroketi dhidi ya kambi ya utawala za Kizayuni wa Israel

    Hizbullah yasema imerusha maroketi dhidi ya kambi ya utawala za Kizayuni wa Israel

    Aug 06, 2021 07:14

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa wapiganaji wake wa kituo cha Shahidi Ali Muhsin Kamel na Shahidi Muhammad Qassim Tahal wamejibu mashambulizi ya karibuni ya utawala wa Kizayni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon kwa kufurumusha maroketi kadhaa dhidi ya utawala huo.

  • UN yapinga matamshi ya kifidhuli ya utawala wa Israel dhidi ya Iran

    UN yapinga matamshi ya kifidhuli ya utawala wa Israel dhidi ya Iran

    Aug 06, 2021 01:46

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepinga matusi na matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Aug 01, 2021 02:15

    Kanali ya al-Waaqe' ya Algeria ilitangaza Jumamosi kuwa nchi hiyo imeanzisha rasmi mchakato wa kubuni kundi la Kiafrika litakalofuatilia kutenguliwa uamuzi wa kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika AU, ili kulinda misingi ya umoja huo inayounga mkono taifa la Palestina.

  • Ripoti: Mateka wa kike wa Palestina wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Israel

    Ripoti: Mateka wa kike wa Palestina wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Israel

    Jul 31, 2021 03:46

    Kamati ya Masuala ya Mateka wa Palestina imetangaza kuwa mahabusu na mateka wa kike wa Palestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel wanaendelea kusumbuliwa na ukatili na hali ngumu kupita kiasi.

  • Mwanajudo wa Algeria: Nimefurahi kuona hatua yangu imeikasirisha Israel

    Mwanajudo wa Algeria: Nimefurahi kuona hatua yangu imeikasirisha Israel

    Jul 30, 2021 03:32

    Fath-i Nurin, mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ambaye kwa sababu ya kutokubali kuutambua utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kwa ajili kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina hakuwa tayari kupambana na mshindani kutoka utawala huo katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020, amesema, amefurahia hatua yake hiyo kwa kuwa imeikasirisha Tel Aviv.

  • Afrika Kusini yapinga Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Afrika Kusini yapinga Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Jul 28, 2021 22:03

    Serikali ya Afrika Kusini imepinga kitendo cha kutambuliwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika (AU.

  • Wazayuni wakasirika kwa

    Wazayuni wakasirika kwa "kususiwa kimichezo" katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020

    Jul 27, 2021 22:55

    Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimetangaza kuwa kususiwa wanamichezo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020 kumewakasirisha na kuwashtusha viongozi wa utawala huo haramu.

  • Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa

    Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa

    Jul 27, 2021 10:40

    Walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel leo wameuvamia tena msikiti wa Al Aqsa katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).

  • Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon

    Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon

    Jul 23, 2021 07:13

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, shambulio la karibuni la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria ni uchokozi na uvamizi wa waziwazi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na ardhi ya Lebanon.

  • Mataifa ya Kiarabu yakosolewa kwa kunyamazia kimya matukio ya kuhujumiwa msikiti wa al-Aqswa

    Mataifa ya Kiarabu yakosolewa kwa kunyamazia kimya matukio ya kuhujumiwa msikiti wa al-Aqswa

    Jul 18, 2021 06:54

    Sheikh Ikrima Sabri, Khatibu wa Masjidul-Aqswa amekosoa vikali kimya cha mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na matukio ya hujuma na uvamizi dhidi ya msikiti wa al-Aqswa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS