Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU

    Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU

    Apr 08, 2025 23:36

    Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa.

  • Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel

    Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel

    Apr 08, 2025 08:25

    Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza na kutaka kufutwa makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni.

  • Ulaya inapoteza itibari ya kimaadili kwa kuitetea Israel

    Ulaya inapoteza itibari ya kimaadili kwa kuitetea Israel

    Apr 07, 2025 03:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Iran amesema bara Ulaya linapoteza itibari ya kimaadili kwa kuutetea utawala wa Kizayuni wa Israel na kwa msingi huo itajipata katika upande mbaya wa historia.

  • Uingereza yailalamikia Israel kwa kuwakamata, kuwadhalilisha na kuwatimua wabunge wake

    Uingereza yailalamikia Israel kwa kuwakamata, kuwadhalilisha na kuwatimua wabunge wake

    Apr 06, 2025 23:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameulaumu utawala wa Kizayuni Israel kwa kuwazuia kuingia, kuwakamata na kisha kuwatimua wabunge wawili wa chama tawala cha nchi hiyo cha Leba katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.

  • Mufti wa Oman akosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za Israel dhidi ya Ghaza

    Mufti wa Oman akosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za Israel dhidi ya Ghaza

    Apr 05, 2025 03:50

    Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • UN: Israel imegeuza theluthi mbili za ardhi ya Ghaza kuwa eneo lisiloruhusiwa kufika

    UN: Israel imegeuza theluthi mbili za ardhi ya Ghaza kuwa eneo lisiloruhusiwa kufika

    Apr 04, 2025 23:06

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa, hivi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi Wapalestina vya kutoruhusiwa kufika kwenye takriban theluthi mbili ya eneo la Ukanda wa Ghaza, ama kwa kuyatangaza maeneo makubwa kadhaa ya ukanda huo kuwa ni marufuku kufika au kutoa amri ya kuwalazimisha wananchi hao kuyahama makazi yao.

  • Iran: Tutatumia njia zote kuuwajibisha utawala wa Kizayuni kwa kuushambulia ubalozi wetu

    Iran: Tutatumia njia zote kuuwajibisha utawala wa Kizayuni kwa kuushambulia ubalozi wetu

    Apr 02, 2025 08:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni ya kuushambulia ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Damascus na kutangaza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeazimia kutumia fursa na njia zote kutekeleza uadilifu na kuuwajibisha utawala wa kigaidi wa Israel.

  • Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

    Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

    Apr 02, 2025 03:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Dhahiya katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.

  • Wapalestina 11 wauawa shahidi katika mashambulizi ya leo ya jeshi la Israel

    Wapalestina 11 wauawa shahidi katika mashambulizi ya leo ya jeshi la Israel

    Apr 02, 2025 03:28

    Duru za kitiba zimetangaza kuwa Wapalestina 11 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza mapema leo.

  • Utawala wa Kizayuni waendelea kupinga utoaji wa misaada kwa Wapalestina

    Utawala wa Kizayuni waendelea kupinga utoaji wa misaada kwa Wapalestina

    Mar 31, 2025 06:43

    Vitendo vya kikatili vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza vinaendelea, na bado utawala huo unazuia kufikishwa kwa misaada ya chakula na dawa kwa wakazi wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS