-
Baada ya kupita siku 5, manusura wa tetemeko la ardhi waendelea kupatikana vifusini nchini Uturuki
Feb 11, 2023 11:57Watu kadhaa wameokolewa leo nchini Uturuki kwa kutolewa kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka, wakati vikosi vya uokoaji kutoka nchi mbalimbali duniani vikiongeza kasi ili kujaribu kuokoa maisha ya watu zaidi baada ya matetemeko makubwa ya ardhi yaliyotokea siku ya Jumatatu kusini mwa nchi hiyo na katika nchi jirani ya Syria.
-
Idadi ya waliofariki dunia yapindukia 24,000 zilzala ya Syria na Uturuki, matumaini ya kupata manusura zaidi yanafifia
Feb 11, 2023 07:26Matumaini ya kupata manusura zaidi chini ya vifusi vya nyumba zilizobomolewa na zizlala ya Jumatatu iliyopita katika nchi za Syria na Uturuki yanazidi kupungua siku 5 baada ya maafa ya tetemeko la ardhi lililoua zaidi ya watu 24,000 na kujeruhi makumi ya maelfu ya wengine.
-
Umoja wa Mataifa wakiri kuingizwa masuala ya kisiasa katika kadhia ya kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria
Feb 11, 2023 02:18Rola Amin, Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR amesema misimamo ya kisiasa inapaswa kuwekwa kando na juhudi kufanyika kwa ajili ya kuwafikishia misaada ya kibinadamu waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Syria.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Feb 10, 2023 07:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamejadili kuhusu matukio ya kieneo na kimataifa, ikiwa ni pamoja na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea karibuni nchini Syria na Uturuki, na hali ya mazungumzo ya kuiondolea Iran vikwazo vya kidhulma.
-
Venezuela yaonyesha mshikamano wake kwa Uturuki na Syria; yatuma misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa zilzala
Feb 09, 2023 02:19Kikosi cha waokoaji 52 wa Venezuela na wahudumu wa idara ya zima moto waliondoka jana Jumatano Caracas wakielekea katika nchi za Uturuki na Syria kwa ajili ya operesheni ya uokoaji wa waathirika wa tetemeko la ardhi lililozikumba nchi hizo.
-
Manusura wa zilzala ya Uturuki na Syria: Tulidhani Siku ya Kiyama imewadia
Feb 07, 2023 12:05Manusura wa mitetemeko mikubwa ya ardhi ilioyakumba baadhi ya meneo ya Uturuki na Syria wametaja hali ngumu na wahka uliowapa wakati wa mitetemeko hiyo wakisema kuwa hawajawahi kukutana na hali kama hiyo licha ya kushuhidia mitetemeko kadhaa ya ardhi katika miaka ya nyuma.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu Uturuki, Syria
Feb 07, 2023 03:04Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Uturuki na Syria, kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi iliyoyakumba maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria.
-
Mamia wapoteza maisha katika mtetemeko mkubwa wa ardhi Uturuki, Syria + Video
Feb 06, 2023 08:06Mtemtemeko mkubwa wa ardhi umetikisa maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria na kuua watu wasiopungua 400 huku idadi ya waliopoteza maisha ikitazamiwa kuongezeka.
-
Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Uturuki upo katika mkondo sahihi
Jan 17, 2023 13:15Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki upo katika mkondo sahihi.
-
Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria
Dec 13, 2022 07:07Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amekosoa hatua ya Marekani ya kuyapa makundi ya kigaidi yaliyopo kaskazini mwa Syria msaada wa fedha na silaha.