Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Uturuki upo katika mkondo sahihi

    Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Uturuki upo katika mkondo sahihi

    Jan 17, 2023 09:45

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki upo katika mkondo sahihi.

  • Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria

    Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria

    Dec 13, 2022 03:37

    Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amekosoa hatua ya Marekani ya kuyapa makundi ya kigaidi yaliyopo kaskazini mwa Syria msaada wa fedha na silaha.

  • Erdogan anawania uchaguzi wa rais kwa mara ya mwisho

    Erdogan anawania uchaguzi wa rais kwa mara ya mwisho

    Dec 11, 2022 04:25

    Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amesema kuwa kwa mara ya mwisho atagombea kiti cha rais katika uchaguzi wa mwaka kesho 2023.

  • Bunge la Waarabu lalaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia milioni moja wa Syria

    Bunge la Waarabu lalaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia milioni moja wa Syria

    Nov 22, 2022 07:55

    Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiarabu umelaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia zaidi ya milioni moja wa Syria katika mkoa wa al-Hasakah.

  • Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India

    Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India

    Nov 18, 2022 23:00

    Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Ijumaa alisisitiza kuwa kuna umuhimu Moscow kushirikiana na Tehran, Beijing, Ankara, New Delhi na nchi nyingine za pambizoni mwa bahari ya Kaspi.

  • Uturuki na Libya zasaini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi

    Uturuki na Libya zasaini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi

    Oct 26, 2022 09:27

    Maafisa wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na wa Uturuki wametia saini mikataba miwili ya ushirikiano wa kijeshi mjini Istanbul.

  • Iran: Ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na ugaidi wa vyombo vya habari

    Iran: Ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na ugaidi wa vyombo vya habari

    Oct 23, 2022 09:20

    Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema, vyombo vya habari vyenye uadui vinapindua ukweli na kuandaa habari bandia ili kujaribu kutoa taswira isiyo sahihi kuhusu Iran ya Kiislamu na Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Misri na Ugiriki: Makubaliano ya gesi kati ya Libya na Uturuki ni kinyume cha sheria

    Misri na Ugiriki: Makubaliano ya gesi kati ya Libya na Uturuki ni kinyume cha sheria

    Oct 10, 2022 07:00

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Ugiriki wamekutana Cairo kufuatia mikataba yenye utata ya baharini na gesi ambayo mpinzani wao wa pamoja, Uturuki, ilitia saini na kiongozi wa Libya.

  • Wakuu wa Intelijensia wa Uturuki na Syria wakutana Damascus kuandaa mkutano wa viongozi wa juu wa nchi mbili

    Wakuu wa Intelijensia wa Uturuki na Syria wakutana Damascus kuandaa mkutano wa viongozi wa juu wa nchi mbili

    Sep 16, 2022 20:55

    Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za Syria na Uturuki na kutangaza kuwa Hakan Faidan, mkuu wa shirikia la intelijensia la Uturuki na mwenzake wa Syria Ali Mamluk wamekutana kwa mazungumzo katika mji mkuu wa Syria Damascus ili kuandaa mazingira ya mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu zaidi wa nchi mbili.

  • Manowari ya Uturuki yatia nanga katika bandari ya Haifa Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Manowari ya Uturuki yatia nanga katika bandari ya Haifa Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Sep 03, 2022 21:54

    Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa manowari ya Uturuki pamoja na meli ya kivita ya kombora ya Marekani zimetia nanga katika bandari ya Haifa kaskazini-magharibi ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS