-
Kupungua kupindukia akiba ya fedha za kigeni nchini Uturuki
May 30, 2021 22:06Licha ya serikali ya Rais Recep Tayyip Edrogan kuchukua hatua nyingi za kuimarisha uchumi na kuongeza pato la kigeni, lakini pole pole uchumi wa nchi hiyo umeingia kwenye mgogoro mkubwa zaidi na kila siku idadi ya wananchi wa Uturuki wanaoingia kwenye orodha ya watu maskini, inaongezeka.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa huko Halab Syria katika mashambulizi ya magaidi wanaoungwa mkono na Uturuki
Mar 22, 2021 03:48Makumi ya watu wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora yaliyofanywa akatika baadhi ya maeneo ya mji wa Halab huko Syria na magaidi wenye silaha wanaongwa mkono na Uturuki.
-
Uturuki: Israel ni mkiukaji wa sheria za kimataifa
Mar 20, 2021 06:09Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora ardhi na kubomoa nyumba za Wapalestina unakanyaga wazi sheria za kimataifa.
-
Iraq yaitahadharisha Uturuki kuhusu mashambulizi dhidi ya Sinjar
Feb 15, 2021 23:11Msemaji wa kikosi cha oparesheni za pamoja cha Iraq ameitahadharisha Uturuki kuhusu oparesheni ya jeshi katika eneo la Sinjar mkoani Nainawa huko Iraq na kueleza kuwa, Baghdad itachukua hatua zote za lazima iwapo itakabiliwa na shambulizi au uvamizi wowote wa nchi ajinabi.
-
Uturuki: Marekani ndiyo iliyopanga jaribio lililofeli la mapinduzi ya kijeshi 2016
Feb 05, 2021 04:32Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ameituhumu Marekani kuwa ndio iliyopanga jaribio lililofeli la mapinduzi ya kijeshi la mwaka 2016, ambalo serikali ya Ankara imemhusisha nalo khatibu wa Kiislamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani.
-
Rais wa Uturuki: Jamii ya kimataifa ikomeshe uenezwaji chuki dhidi ya Uislamu
Jan 28, 2021 03:55Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vyombo vya kijamii vya Magharibi kugeuzwa kuwa jukwaa la kuenezea chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya wageni na akaitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kuzuia mwenendo huo.
-
Wasi wasi wa viongozi wa Ankara kuhusu kuharibika uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Ulaya
Jan 24, 2021 22:59Licha ya kuongezeka kila siku hitilafu baina ya Uturuki na Umoja wa Ulaya lakini bado viongozi wa Ankara wanafuatilia juhudi za kupewa uanachama katika umoja huo.
-
Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia
Jan 19, 2021 23:09Sambamba na kumalizika kipindi cha uongozi wa Donald Trump nchini Marekani, kumedhihirika bayana ishara za mabadiliko katika siasa na sera za kieneo za Saudi Arabia.
-
Israel yaishurutisha Uturuki iifunge ofisi ya HAMAS ili kurejesha uhusiano kamili
Jan 19, 2021 07:56Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetoa sharti kwa Uturuki la kuifunga ofisi ya HAMAS mjini Istanbul ili kuanzisha tena uhusiano kamili na nchi hiyo.
-
Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli
Jan 17, 2021 09:51Wizara ya Viwanda ya Libanon imezishutumu Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuitapeli na kuwadanganya watumiaji wa bidhaa za madola hayo katika masoko ya kigeni.