-
Kuendelea mazungumzo ya serikali ya Venezuela na wapinzani licha ya vitisho vya Wamagharibi
Jul 21, 2019 03:19Mashinikizo na vitisho vya Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya Venezuela, vimeongezeka huku mazungumzo ya kutafuta njia ya kuiodoa nchi hiyo kwenye mgogoro wa kisiasa yakiwa yanaendelea kati ya serikali na wapinzani.
-
Bajeti mpya ya serikali ya Marekani kwa wapinzani wa serikali ya Venezuela
Jul 17, 2019 21:52Serikali ya Marekani imepanga kuwapatia wapinzani wa serikali nchini Venezuela bajeti ya zaidi ya dola milioni 40 kwa ajili ya kuendeshea harakati zao.
-
Sisitizo la wapinzani wa Venezuela la kuendelea kushiriki katika mazungumzo na serikali ya Caracas
Jul 16, 2019 22:00Baada ya duru tatu za mazungumzo baina ya serikali ya Venezuela na wapinzani yenye lengo la kufikia utatuzi wa pamoja na kuikwamua nchi hiyo katika kinamasi cha mgogoro wa kisiasa, wapinzani wa nchi hiyo wamethibitisha kwamba, wataendelea kushiriki katika mazungumzo na wawakilishi wa serikali huko nchini Barbados katika Bahari ya Caribbean.
-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali
Jul 16, 2019 03:37Marekani imekuwa ikitumia fimbo vya vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kijuba na kimabavu.
-
Sisitizo la Rais Maduro la uwezekano wa kufikiwa makubaliano na wapinzani kwa sharti Marekani iache kuingilia mambo ya Venezuela
Jul 10, 2019 03:20Kuendelea mgogoro wa kisiasa wa Venezuela na kushindwa wapinzani kuiangusha serikali ya Rais Nicolas Maduro kumemfanya Juan Guaido, kiongozi wa upinzani nchini humo akubali pendekezo la upatanishi wa Norway na kufanyika mazungumzo baina ya wapinzani na wawakilishi wa serikali ya Caracas.
-
Sisitizo la kuendeleza mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Jul 06, 2019 21:52Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametilia mkozo azma ya serikali yake ya kuendeleza mazungumzo na wapinzani chini ya uwenyeji wa Norway.
-
Rais wa Venezuela asisitiza kuunga mkono mazungumzo na wapinzani
Jul 06, 2019 03:46Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesisitiza kuwa, serikali yake inaunga mkono na kuheshimu mchakato wa kuendelezwa mazungumzo na wapinzani wake kwa usimamizi wa Norway.
-
Kurejea balozi wa Ujerumani nchini Venezuela, dalili nyingine ya kuimarika serikali ya Nicolás Maduro
Jul 03, 2019 22:14Sambamba na kurejea uthabiti wa kiwango fulani nchini Venezuela na kuimarika nafasi ya serikali ya Rais Nicolás Maduro, sasa nchi mbalimbali zinakusudia kuboresha uhusiano wao na serikali ya Caracas.
-
Mazungumzo baina ya serikali na wapinzani nchini Venezuela kuanza karibuni hivi
Jun 30, 2019 21:01Mazungumzo baina ya wawakilishi wa serikali na wapinzani nchini Venezuela yanatarajiwa kuanza hivi karibuni lengo likiwa ni kufanya juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Raia wa Venezuela wamzomea Juan Guaidó, alazimika kufuta hotuba yake
Jun 30, 2019 00:14Raia wa Venezuela wamemlazimisha Juan Guaidó kiongozi wa upinzani afutilie mbali hotuba yake baada ya kumzomea na kuonyesha upinzani dhidi yake.