-
Kuendelea juhudi za utatuzi wa mgogoro wa Venezuela
Jun 16, 2019 05:59Baada ya wapinzani wa Rais Nicolás Maduro wa Venezuela kufeli katika njama zao na kisha nchi hiyo kukumbwa na mkwamo wa kisiasa, kumeanza juhudi za kimataifa za kuondoa mkwamo huo.
-
Ukwamishaji mambo wa Juan Guaidó kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Jun 09, 2019 08:05Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela na kadhalika kushindwa wapinzani wa nchi hiyo kumng'oa madarakani Rais Nicolás Maduro, kumepelekea Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani kukubali pendekezo la upatanishi wa Norway na kuanza mazungumzo ya wawakilishi wa serikali na wapinzani huko mjini Oslo.
-
Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani
Jun 08, 2019 07:21Makamo wa Rais wa chama tawala cha Venezuela Diosdado Cabello amekutana na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Cuba, Raul Castro kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na uhasama wa Marekani dhidi ya nchi zao.
-
Maduro aliamuru Jeshi la Venezuela kuwa tayari kukabiliana na askari vamizi wa Marekani
May 23, 2019 06:38Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliamuru jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kukabiliana na hujuma tarajiwa ya Marekani. Aidha ametoa amri kwa makachero jeshini kuwasaka na kuwatia mbaroni askari wasaliti katika jeshi.
-
Jeshi la Venezuela lasema liko tayari kukabiliana na Marekani
May 19, 2019 03:25Jeshi la Venezuela limetangaza utiifu kamili kwa serikali ya Rais Nicholas Maduro wa nchi hiyo na kusema liko na silaha mkononi tayari kukabiliana na hujuma yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Ubunifu mpya wa kisiasa kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Venezuela
May 18, 2019 20:49Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela na kushindwa harakati za wapinzani na serikali ya Marekani za kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro, harakati mpya za kimataifa za kuutatua mgogoro huo zimeshika kasi.
-
Venezuela yaweka kando matumizi ya sarafu ya dola
May 09, 2019 23:27Rais wa Venezuela ametangaza kuwa nchi hiyo inaweka kando matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani kwa sababu haitaki kutegemea mfumo wa fedha wa nchi ajinabi.
-
Iran yailaani Marekani kwa kutumia njia zilizo kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru
May 09, 2019 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uhasama wa Marekani dhidi ya Cuba hasa wa kuondoa marufuku ya muda ya utekelezwaji wa Kipengee cha Tatu cha Sheria Helms-Burton na kusema: "Kwa hatua yake hiyo, Washington kwa mara nyingine imeonyesha kuwa, inatumia kila wenzo ulio kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru."
-
Maduro aagiza kusimamiwa viwanja vya ndege katika mji mkuu wa Venezuela
May 08, 2019 07:44Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela amesema kuwa serikali ya nchi hiyo itasimamia viwanja vitatu vya ndege vilivyopo katika mji mkuu wa nchi hiyo kufuatia agizo la Rais wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela: Inatupasa kujifunza kutoka Iran
May 07, 2019 20:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela sambamba na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika uga wa kijeshi na nishati kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Caracas inapaswa kujifundisha masomo mengi kutoka Iran.