-
Mogherini asisitiza ulazimia wa kutatuliwa kwa njia ya amani mgogoro wa Venezuela
May 07, 2019 08:55Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameashiria matukio ya Venezuela na kusisitiza kuwa njia ya ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo inapasa kuwa ya kiraia na kutoka ndani ya nchi hiyo yenyewe kikamilifu.
-
Onyo kali la Moscow dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Washington nchini Venezuela
May 03, 2019 03:08Katika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Donald Trump wa Marekani, nchi hiyo imeongeza maradifu juhudi zake za kutaka kuiangusha serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolas Maduro.
-
Iran yalaani jaribio la Marekani la kutaka kuipindua serikali ya Venezuela
May 02, 2019 23:27Iran imelaani jaribio la hivi karibuni la Marekani la kutaka kuipindua serikali halali ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.
-
Russia yalaani uingiliaji haribifu wa Marekani nchini Venezuela
May 02, 2019 02:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amelaani vikali uungaji mkono haribifu wa Marekani kwa kinara wa upinzani nchini Venezuela Juan Guaido ambaye alikuwa amedai amepata uungaji mkono wa jeshi katika jaribio lililofeli la kumpindua Rais Nicolas Maduro.
-
Kushindwa tena mapinduzi ya Marekani nchini Venezuela
May 01, 2019 07:44Jana Jumanne Caracas, mji mkuu wa Venezuela ulipitia siku ngumu na iliyojaa mitihani. Kwa mara nyingine Marekani na vibaraka wake wa ndani wanaoongozwa na Juan Guaido na ambao wanaendesha vurugu na upinzani dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo walifanya jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali ya mrengo wa kushoto inayoongozwa na Nicolas Maduro, kwa kushirikiana na baadhi ya wanajeshi, lakini kwa mara nyingine tena Marekani ikawa imeshindwa katika jaribio lake hilo la mapinduzi nchini Venezuela.
-
Maduro alipongeza jeshi la Venezuela kwa kuzima jaribio la mapinduzi
May 01, 2019 02:57Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali yake, harakati ambazo anasema zinaungwa mkono na Marekani.
-
Mwendelezo wa Marekani wa kutaka kupora vyanzo vya utajiri wa Venezuela
Apr 28, 2019 23:38Marekani bado inaendelea kufanya njama za kupanua wigo wa vikwazo na mashinikizo yake dhidi ya Venezuela kwa lengo la kumshinikiza Rais Nicolás Maduro aondoke madarakani nchini humo ili iweze kupenya na kupora utajiri wa taifa hilo la Amerika ya Latini.
-
Marekani yazidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela kwa kuiwekea vikwazo Benki Kuu ya nchi hiyo
Apr 19, 2019 03:18Ikiwa ni katika kuzidisha mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela, John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeiweka Benki Kuu ya Venezuela katika orodha ya vikwazo ya Washington.
-
Waziri wa Ulinzi Venezuela: Umoja wa jeshi, wananchi na serikali utaishinda Marekani
Apr 15, 2019 08:36Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López na katika kuzuia kushtadi mashinikizo na uingiliaji wa Marekani dhidi ya serikali ya Rais Nicolás Maduro, ametaka kushadidishwa umoja wa wananchi, jeshi na serikali kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo hayo.
-
Uungaji mkono wa jeshi la Venezuela kwa mpango wa Rais Maduro wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo
Apr 10, 2019 10:06Mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela uliibuka tangu tarehe 10 Januari mwaka huu, wakati Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo aliposhinda kwa kuchaguliwa kwa mara ya pili na kuapishwa kuwa rais wa taifa hilo la Amerika ya Latini, katika uchaguzi ambao ulisusiwa na wapinzani.