-
Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Apr 07, 2019 02:33Mgogoro wa kisiasa wa sasa nchini Venezuela ulianza 10 Januari mwaka huu wakati Rais Nicolas Maduro alipoapishwa baada ya kushinda katika uchaguzi wa Rais uliosusiwa na wapinzani na hivyo kuchukua usukani wa kuiongoza nchi hiyo katika duru ya pili.
-
Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China
Apr 05, 2019 01:55Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro aliyechaguliwa kihalali na kwa njia ya demokrasia.
-
Wamarekani waandamana kupinga kushambuliwa kijeshi Venezuela
Mar 31, 2019 03:11Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington DC kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Venezuela.
-
Radiamali ya Caracas dhidi ya vitisho vya Marekani kuhusiana na uwepo wa Russia nchini Venezuela
Mar 30, 2019 21:57Katika miaka mitatu ya hivi karibuni, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amkejeli Bolton kwa kumshinikiza ajiuzulu
Mar 30, 2019 03:22Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amemjibu Mshauri wa Rais katika Usalama wa Taifa wa Marekani, John Bolton aliyemtaka waziri huyo ajiuzulu.
-
Jibu la Moscow kwa vitisho vya Marekani dhidi ya uhusiano wa Russia na Venezuela
Mar 28, 2019 06:57Marekani ingali inaendeleza sera zake kuhusu Venezuela zinazolenga kuipindua serikali na kumwondoa madarakani rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro anayefuata siasa za mrengo wa kushoto.
-
Mikwaruzano inazidi kushadidi kati ya Marekani na Russia kuhusiana na Venezuela
Mar 26, 2019 02:24Kauli za tuhuma na uafriti wa Marekani dhidi ya Russia na Venezuela vimezidi kupamba moto kufuatia hatua ya Moscow kutuma shehena ya misaada nchini Venezuela.
-
Sisitizo la Rais Maduro kuwa Marekani inahusika na ugaidi na uharibifu nchini Venezuela
Mar 25, 2019 22:35Rais Donald Trump wa Marekani katika chote cha utawala wake amekuwa akifuatilia sera za kuiangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro nchini Venezuela kutokana na kuwa rais huyo anafuata sera za mrengo wa kushoto za kupinga ubeberu na ubepari wa Marekani na Wamagharibi.
-
Ndege za Russia zilizobeba shehena ya misaada zatua Venezuela zikiwa na maafisa wa kijeshi
Mar 25, 2019 03:20Ndege mbili za Russia zilizobeba tani elfu 35 za misaada zimetua mjini Caracas, mji mkuu wa Venezuela.
-
Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini
Mar 23, 2019 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitizia umuhimu wa kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa Marekani na Mike Pence, Makamu wake wa Rais.