-
Rais wa Venezuela safarini Iran kwa mazungumzo ya mafuta
Oct 22, 2016 00:56Rais Nicolas Maduro wa Venezuela anaitembelea Iran katika sehemu ya safari yake ya kuzitembelea nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani ili kujaribu kuleta uthabiti katika soko la kimataifa la mafuta.
-
Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote, mwanzo mpya na changamoto nyingi
Sep 19, 2016 08:44Kikao cha 17 cha viongozi wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), kilimaliza shughuli zake siku ya Jumapili katika kisiwa cha St. Margarita nchini Venezuela kwa kutoa taarifa ya pamoja.
-
Mjumbe wa Venezuela ashindwa kuvumilia jinai za Israel
May 07, 2016 23:17Wawakilishi wa Venezuela na utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambuliana kwa maneno katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na Palestina.
-
Venezuela yamuita nyumbani mwanadiplomasia wake wa ngazi za juu US
Mar 10, 2016 04:27Venezuela imemuita nyumbani mwanadiplomasia wake wa ngazi za juu nchini Marekani kulalamikia hatua ya Washington ya kutangaza vikwazo vipya dhidi ya maafisa wakuu wa nchi hiyo.