-
Kukosoa Maduro kimya cha viongozi wa Ulaya kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Aug 09, 2023 03:11Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali kuendelea kukaa kimya viongozi wa Ulaya kuhusiana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe
Aug 06, 2023 02:29Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amemtuhumu aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump kwamba alikuwa mstari wa mbele katika kupanga njama iliyofeli ya kuuawa kiongozi huyo wa Amerika ya Latini.
-
Makamanda wa majeshi ya majini ya Afrika Kusini na Venezuela wasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 31, 2023 11:06Makamanda wa vikosi vya wanamaji vya majeshi ya Afrika Kusini na Venezuela wamesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano wa kiulinzi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao chao na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ushirikiano wa kifedha baina ya Russia na Venezuela, sarafu ya dola ya Marekani yazidi kuwekwa kando
Jun 22, 2023 09:22Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, amepongeza hatua ya nchi hiyo kujiunga na mfumo wa malipo wa Russia "Mir" akiutaja utaratibu huu kuwa ni katika mkondo wa kuibuka kwa mtandao mpya na mbadala wa kifedha duniani wa kukabiliana na vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Venezuela.
-
Raisi: Kuimarisha uchumi ndio njia bora zaidi ya kukabiliana na vikwazo
Jun 13, 2023 12:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna uwezo mkubwa ambao haujatumika wa kuzidisha mabadilishano ya kiuchumi kati ya Iran na Venezuela na kueleza kuwa, njia ya kutimiza nia ya kufikisha kiwango cha biashara baina ya pande mbili kwenye dola bilioni 20 ni kuimarisha uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.
-
Iran, Venezuela zasaini hati 19 za ushirikiano; mabadilishano ya kibiashara kufikia dola bilioni 20
Jun 13, 2023 08:01Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Venezuela zina uwezo wa kuongeza kiwango chao cha mabadilishano ya kibiashara kifikie cha thamani ya dola bilioni 20.
-
Rais wa Iran kutembelea Venezuela, Nicaragua na Cuba
Jun 07, 2023 10:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni atafanya ziara katika nchi tatu za Venezuela, Nicaragua na Cuba kwa lengo la kuimarisha uhusiano na nchi rafiki na kupanua kiwango cha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kisayansi na nchi hizo.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela kuhusu uhusiano wa jadi na Iran
Mar 05, 2023 08:42Ivan Khel Pinto, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Al Mayadeen kwamba, uhusiano mzuri wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu, ni wa jadi na ni mkubwa.
-
Venezuela yaonyesha mshikamano wake kwa Uturuki na Syria; yatuma misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa zilzala
Feb 09, 2023 02:19Kikosi cha waokoaji 52 wa Venezuela na wahudumu wa idara ya zima moto waliondoka jana Jumatano Caracas wakielekea katika nchi za Uturuki na Syria kwa ajili ya operesheni ya uokoaji wa waathirika wa tetemeko la ardhi lililozikumba nchi hizo.
-
Iran yatoa mwito wa kupanuliwa uhusiano wake na Venezuela
Feb 04, 2023 07:32Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Venezuela wametilia mkazo udharura wa kuzidisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti bila vizingiti.