-
Subhanallah! Mtu anavyojitahidi kumwokoa papa baharini
Jun 28, 2016 01:47Kipande hiki cha video kimeenea katika mitandao ya kijamii kikimuonesha mtu akijaribu kadiri awezavyo kumuokoa papa "aliyepwewa" baharini. Ajabu ni kuwa kadiri papa alivyokuwa anarudishwa baharini, alikuwa ndio kwanza anarejea nchi kavu...
-
Yaliyomsibu mvuvi
Jun 28, 2016 01:43Yaliyomsibu mvuvi aliyetaka kuvua samaki mkubwa kwa hali yoyote ile. Pamoja na tabu na madhara na mashaka, hatimaye...
-
Unyanyasaji wa Wazayuni na mateso ya Wapalestina
Jun 25, 2016 07:03Ijumaa ya wiki hii ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Tumekuwekea kipande hiki cha video kinachoonesha namna wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanavyowatesa Wapalestina katika ardhi yao wenyewe...
-
Vipaka vidogo vinapojigeuza sungura
Jun 25, 2016 06:52Uigizaji hauishii tu kwa wanadamu wenye akili zao, bali hata kwa wanyama wasio na akili. Ona vipaka hivi vidogo vinavyowaigiza sungura kwa kutembea kwa kurukaruka.
-
Hasira za mkizi
Jun 25, 2016 06:51Ukisikia hasira za mkizi ndizo hizi...
-
Ronaldo ashindwa kujizuia...
Jun 25, 2016 06:49Wakati mchezaji nguli wa kandanda anaposhindwa kuficha hasira zake...
-
Mtangazaji awashangaza watazamaji...
Jun 25, 2016 06:47Teknolojia imepiga hatua kiasi kwamba kila leo kunakuja vitu vipya kama huyu mtangazaji wa kike alivyowashangaza watazamaji wake kwa kuchupa ndani ya kioo cha runinga.
-
Video: Operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi waliotaka kufanya hujuma Tehran, Iran
Jun 22, 2016 12:46Baada ya kusambaratisha njama za magaidi wa kitakfiri waliotaka kufanya mashambulio mjini Tehran, Wizara ya Usalama wa Ndani ya Iran imesambaza mkanda wa video unaoonesha sehemu moja ya operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi hao wakiwa katika maficho yao mjini Tehran.
-
Kuna baadhi ya watu wameyachoka maisha yao...
Jun 18, 2016 06:50Akili ikiongozwa vibaya huwa hasara kwa mwili. Kutafuta umaarufu huweza kuwa balaa kwa watu. Mtu huyu anamlima mamba kwa kutumia mdomo wake bila ya kujali hatari inayoweza kumaliza uhai wake...
-
Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq
Jun 18, 2016 06:26Mkanda huu wa video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, unaonesha namna kikosi maalumu cha Iraq kinavyowatia mbaroni kwa mkupuo magaidi kadhaa wa Daesh mjini Fallujah wakiwa wamejificha kwenye kibanda kimoja cha udongo...