-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Sep 03, 2020 22:18Katika kipindi cha utawala wa Donald Trump nchini Marekani serikali ya Washington imechukua msimamo hasi na wa kihasama dhidi ya taasisi na jumuiya za kimataifa.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya taifa la Iran
Aug 01, 2020 02:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amevitaja vikwazo vya Marekani kuwa ni kitendo cha jinai dhidi ya taifa la Iran na ametoa wito wa kusimama kidete kukabiliana na adui huyo.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya China, siasa za kundumakuwili za Brussels
Jul 29, 2020 22:03Ikiwa ni katika kudumishwa siasa za mashinikizo za nchi za Magharibi dhidi ya China, Umoja wa Ulaya kama ilivyofanya Marekani, umeiwekea vikwazo Beijing kwa kisingizio cha kutoheshimu haki za binadamu.
-
Borell akosoa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali
Jul 18, 2020 08:25Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekosoa vikwazo vinavyowekwa na Marekani dhidi ya nchi nyingine vikiwemo vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya mradi wa pili wa ujenzi wa bomba la gesi wa Russia kuelekea Ulaya wa Nord Stream 2.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Venezuela na jibu kali la Rais Maduro
Jul 01, 2020 05:53Tangu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela uliposhadidi, Umoja wa Ulaya umekuwa pamoja na Marekani dhidi ya Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
-
Dunia nzima dhidi ya Trump; walimwengu walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
Jun 25, 2020 01:56Mojawapo na sifa kuu za utawala wa Donald Trump huko Marekani ni sera na mtazamo mbaya wa kiongozi huyo kuhusiana na jumuiya na mashirika ya kikanda na kimataifa. Hatua ya karibuni zaidi ya Trump dhidi ya jumuiya za kimataifa ni vikwazo alivyoweka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ambayo ndicho chombo cha juu zaidi cha kimataifa chenye jukumu la kushughulikia uhalifu wa kivita na jinai zinazofanywa dhidi ya binadamu.
-
Malalamiko ya Ujerumani kwa vitisho vya Marekani dhidi ya usalama wa nishati barani Ulaya
Jun 15, 2020 03:30Baada ya Donald Trump kuingia katika Ikulu ya Marekani, White House, uhusiano wa Washington na Umoja wa Ulaya ikiwemo Ujerumani umevurugika na kufikia kiwango cha chini kabisa. Uhusiano huo umezidi kuwa mbaya baada ya Trump kuzungumzia suala la kuondoa wanajeshi wa Marekani huko Ujerumani.
-
Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa
Jun 12, 2020 22:35Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza ushari wake wa kutojali, kuponda na kutoa vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa. Hadi hivi sasa Trump ameshaitoa Marekani kwenye taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa kama vile UNESCO na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na hivi sasa ametishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Vikwazo vya kukaririwa vya Marekani dhidi ya Iran na kufeli mtawalia kwa sera za Washington
Jun 11, 2020 22:00Baada ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani ilianza kutekeleza vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu ikiwa na lengo la kuidhoofisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kisha kuilazimisha kuketi kwenye meza ya mazungumzo.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; jitihada zisizo na tija za utawala wa Trump
May 23, 2020 02:45Baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran mnamo Mei 2018, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani imekuwa ikitekeleza mashinikizo ya juu kabisa kwa kuiwekea Iran vikwazo shadidi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijaweza kufanikiwa, Marekani inasisitiza kuendelea na sera yake hiyo ya vikwazo.