-
Umoja wa Ulaya wapendekeza kifurushi cha vikwazo vipya dhidi ya Russia
Sep 29, 2022 04:27Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya jana usiku alipendekeza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Moscow; vikiwemo vikwazo katika bei ya mafuta na kuizuia Russia kuuza mafuta yake ya kiasi cha dola bilioni 7.
-
Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani
Sep 28, 2022 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.
-
Rais wa Venezuela: Vikwazo ni jinai dhidi ya binadamu
Sep 26, 2022 07:26Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema, vita vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya nchi yake ni "jinai dhidi ya binadamu" na ametabiri kuundwa ulimwengu wa kambi kadhaa kwa mchango wa Iran, Russia na China.
-
Ripota Maalumu wa UN: Kuna udharura wa kukomesha vikwazo dhidi ya Iran
Sep 12, 2022 10:43Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amechapisha ripoti yake rasmi kuhusu ulazima wa kukomesha vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.
-
Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe
Sep 12, 2022 02:32Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow vimetoa pigo la kiuchumi kwa nchi zenyewe za Ulaya kabla ya hata Russia.
-
Ombi la rais wa Ukraine la kuadhibiwa kwa umati wananchi wa Russia; muendelezo wa siasa za Kizayuni
Aug 10, 2022 21:55Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ambaye hadi hivi karibuni alikuwa anadai kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia ndiye aliyesababisha vita vya Ukraine, hivi sasa ameelekeza mashambulizi yake kwa wananchi wote wa Russia na ametaka adhabu ya umati itolewe dhidi yao.
-
Marandi: Makubaliano ya Marekani na Iran ni hatua erevu ya kuzuia mgogoro wa nishati
Jul 17, 2022 07:21Mohammad Marandi, mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa na mitaala kuhusu Marekani amesema makubaliano kati ya Marekani na Iran ni hatua erevu ambayo kama itachukuliwa itazuia kutokea mgogoro wa nishati katika nchi za Magharibi.
-
Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu
Jul 16, 2022 23:25Nchi za Magharibi zinaendelea kustafidi na wenzo wa mashinikizo kwa Russia kupitia njia mbalimbali kama kuiwekea nchi hiyo vifurushi vya vikwazo vipya kufuatia hatua yake ya kuanzisha vita dhidi ya Ukraine; ambapo Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uuzaji nje wa dhahabu kutoka Russia utajumuishwa katika kalibu ya vikwazo vipya vya umoja huo.
-
Kuondolewa vikwazo vya Magharibi, sharti la Moscow la kuuza chakula na mbolea nje ya Russia
May 28, 2022 22:56Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi yake haina tatizo na kuuza nje bidhaa za chakula na mbolea na kuikoa dunia na janga hilo, lakini tatizo ni kwa nchi za Magharibi zilizoiwekea vikwazo Russia na kukwamisha zoezi hilo. Amesema, iwapo nchi za Magharibi zitaondoa vikwazo, Moscow itaweza kuendelea kuuza chakula na mbolea kama zamani.
-
Putin: Vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia vinaziathiri nchi zenyewe za Magharibi
May 27, 2022 02:28Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia kwa mara nyingine tena amezilaumu nchi za Magharibi kwa kuiwekea nchi yake vikwazo kwa kisingizio cha vita vya Ukraine na kusema kuwa, vikwazo hivyo vinaziathiri nchi zenyewe za Magharibi.