-
UN: Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umeshafikia “hatua ya kusambaratika”
Aug 12, 2026 12:02Mratibu wa juhudi za Umoja wa Mataifa za mchakato wa amani Mashariki ya Kati, Ramiz Alakbarov, amesema Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umefikia “hatua ya kusambaratika”, huku ongezeko la vitendo vya ukatili na mabavu vya walowezi wa Israel, upanuzi wa vitongoji haramu na ufurushwaji wa jamii za Wapalestina vikiibadilisha kwa kasi sura ya eneo hilo.
-
Ripoti: Ukatili uliopangwa wa walowezi wa Israel dhidi ya Wakristo umefikia kiwango cha juu
May 03, 2026 10:19Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Umoja wa Ulaya wazidi kuisusia Israel, Mogherini akataa kuonana na walowezi wa Kizayuni
Sep 10, 2018 02:54Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekataa ombi la kundi moja la walowezi wa Kizayuni waliotaka kuonana naye mjini Brussels, Ubalgiji.
-
OIC yataka kusitishwa ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni
Aug 29, 2018 03:16Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina.
-
China: Israel ikomeshe ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Wapalestina
Jul 26, 2018 09:47Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala haramu wa Israel uheshimu mikataba ya kimataifa na kukomesha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.