• Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo vya upande mmoja

    Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo vya upande mmoja

    Aug 13, 2021 09:05

    Wataalamu huru wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wamesema katika taarifa iliyosambazwa Jumatano kwamba vikwazo vya upande mmoja vinavyotekelezwa kimataifa na baadhi ya nchi vimewapokonya watu wengi ulimwenguni haki yao ya kujistawisha kimaendeleo.

  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuenea ugaidi barani Afrika

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuenea ugaidi barani Afrika

    Jul 25, 2021 08:26

    Katika ripoti yao mpya, wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema kuwa bara la Afrika limekuwa muhanga mkuu wa ugaidi katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2021 kutokana na kuenea makundi ya kigaidi kama Daesh na al-Qaida na makund mengine yaliyo chini ya udhibiti na ushawishi wa makundi hayo mawili.

  • Mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya raia weusi yatambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu

    Mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya raia weusi yatambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu

    Apr 29, 2021 02:21

    Uchunguzi uliofanywa na wataalamu mashuhuri wa haki za binadamu kote dunia kuhusiana na ukatili wa polisi wa Marekani umebaini kuwa, mauaji yanayofanywa kwa mpangilio maalumu na ya kimfumo, na vitendo vya polisi vya kuwapiga na kuwanyanyasa Wamarekani weusi ni sawa na jinai dhidi ya binadamu ambavyo vinapaswa kuchunguzwa kwa kina na kufuatiliwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.