-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko afariki kwa saratini akiwa na umri wa miaka 56
Mar 11, 2021 07:18Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko amefariki dunia kwa maradhi ya saratani katika hospitali moja mjini Freiburg nchini Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.
-
Al Kadhimi asisitiza kulipiza kisasi kwa wahusika wa milipuko ya Baghdad
Jan 31, 2021 07:34Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, wale wote walioihusika katika kuwaua raia wasio na hatia katika milipuko ya karibuni katika maidani ya al Tayaran huko Baghdad mji mkuu wa nchi hiyo watalipizwa kisasi.
-
Yemen: Hakuna matumaini ya mabadiliko ya kimsingi katika siasa za Marekani
Jan 23, 2021 07:52Mshauri wa Waziri Mkuu wa Yemen amesema kuwa, rais mpya wa Marekani, Joe Biden si mwokozi wa eneo hili tofauti kabisa na propaganda zinazopigwa. Amesema, hakuna matumaini ya kuweko mabadiliko ya kimsingi katika siasa za Marekani na kamwe Biden hatofanya kinyume na marais waliomtangulia wa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Magaidi wa Daesh (ISIS) wasubiri majibu makali ya jinai zao
Jan 22, 2021 11:51Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, magaidi wa Daesh (ISIS) wasubiri majibu makali kutoka kwa wananchi na vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo na kusisitiza kwamba serikali yake itahakikisha mashambulizi mengine ya kigaidi hayatokei nchini humo.
-
Kuwait: Jukumu la usalama wa Ghuba ya Uajemi ni la nchi zote za eneo hilo
Dec 15, 2020 11:34Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, suala la kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi ni jukumu la nchi zote za eneo hilo na hakuna nchi yoyote inayoweza kujivua na jukumu hilo.
-
Sababu za kujiuzulu Waziri Mkuu wa Jordan
Oct 05, 2020 02:33Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Omar al-Razzaz na kumuamuru kukaimu nafasi hiyo hadi litakapoundwa baraza jipya la mawaziri.
-
Onyo la Johnson kwa Umoja wa Ulaya kuhusu hatari ya kutoweka umoja wa Uingereza
Sep 14, 2020 06:15Suala la kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya ambalo lilianza kutekelezwa tarehe 31 Januari 2020 limekumbwa na malalamiko mengi katika maeneo yanayopigania kujitenga na nchi hiyo ya Ulaya yakiwemo ya Scotland na Ireland Kaskazini.
-
Sababu za kuchelewa kutangazwa Waziri Mkuu mpya wa Lebanon na changamoto zake
Aug 29, 2020 02:35Licha ya kupita siku 19 tangu kujiuzulu Waziri Mkuu wa Lebanon, Hassan Diab, bado hadi hivi sasa hakuna mtu mwingine yeyote aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu
Aug 11, 2020 03:37Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diyab amejiuzulu. Diyab amechukua uamuzi huo kufuatia mripuko uliotokea hivi karibuni katika bandari ya Beirut na kutokana na mashinikizo ambayo yameendelea kuiandama serikali ya nchi hiyo.
-
Rais wa Iraq aunga mkono kufanyika uchaguzi wa mapema nchini humo
Aug 04, 2020 11:16Rais wa Iraq amekaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al Kadhimi kuhusu kufanyika mapema uchaguzi wa bunge.