-
Waziri Mkuu mpya ateuliwa nchini Tunisia
Jul 26, 2020 20:59Kufuatia kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia baada ya kujiuzulu Waziri Mkuu Elyes Fakhfakh, rais wa nchi hiyo Kais Saied, amemteua waziri wa mambo ya ndani Hichem Mechichi kuwa waziri mkuu mpya na kumtaka aunde baraza jipya la mawaziri.
-
Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina
Jul 16, 2020 03:29Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kumega asilimia 30 ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ulizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ulizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.
-
Wazayuni waandamana wakishinikiza kupandishwa kizimbani Benjamin Netanyahu
May 10, 2020 03:12Mamia ya wakazi wa Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano mjini humo kupinga Baraza la Mawaziri lililoundwa na Benjamin Netanyahu na kushinikiza kupandishwa kizimbari waziri mkuu huyo wa utawala pandikizi wa Kizayuni.
-
Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu
Apr 20, 2020 22:27Avigdor Lieberman, Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel amemtaka spika wa bunge la utawala huo kupitisha mpango wa kumzuia Benjamin Netanyahu kuwa waziri mkuu.
-
Waziri Mkuu mteule wa Iraq: Mamlaka ya kitaifa ya kujitawala ni mstari mwekundu kwangu
Apr 10, 2020 23:45Waziri Mkuu mpya mteule wa Iraq Mustafa al-Kadhimi amesema, mafanikio ya nchi hiyo katika mahusiano ya kimataifa yatapatikana kwa "kuheshimiana na kushirikiana".
-
Adnan al Zurfi aunga mkono harakati ya al Hashd al Sha'abi
Mar 26, 2020 22:06Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Iraq ameiunga mkono harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashd al Sha'abi.
-
Waziri Mkuu wa Sudan anusurika kifo katika shambulio la bomu
Mar 09, 2020 06:45Waziri Mkuu wa Sudan Abdulla Hamdok amenusurika kifo leo kufuatia mlipuko wa gari uliolenga gari lake katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.
-
Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho afikishwa mahakama kwa kumuua mke wake wa kwanza
Feb 06, 2020 03:38Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane alipandishwa kizimbana jana kwa tuhuma za kumuua mkwe wa kwanza wa kiongozi huyo siku mbili kabla ya mumewe hajababidhiwa ofisi mwaka 2017.
-
Waziri Mkuu mpya wa Lebanon; vipaumbele vyake na changamoto zinazomkabili
Dec 20, 2019 08:42Rais Michel Aoun wa Lebanon amemtangaza Hassan Diab, shakhsia miongoni mwa Waislamu wa madhehebu ya Sunni na waziri wa zamani wa elimu ya juu wa nchi hiyo, kuwa waziri mkuu mpya na kumpa jukumu la kuunda serikali.
-
Watu zaidi ya 300 kutoa ushahidi mahakamani dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel
Dec 03, 2019 23:31Watu 333 watatoa ushahidi dhidi ya Benjamin Netanyahu Kwa mujibu wa mashtaka yaliyowasilishwa kwa bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) kuhusu mafaili ya ufisadi yanayomkabili Waziri Mkuu huyo wa utawala wa Kizayuni.