-
Mahakama ya Ulaya yakataa kusikiliza kesi ya mauaji ya Yassir Arafat
Jul 03, 2021 02:44Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya (ECHR) imetupilia mbali faili la kutaka kuchunguzwa upya kifo cha kutatanisha cha Yasser Arafat, Rais wa zamani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.