Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zanzibar

  • Viongozi wa Uamsho Zanzibar wafutiwa kesi, waanza kuondoka gerezani

    Viongozi wa Uamsho Zanzibar wafutiwa kesi, waanza kuondoka gerezani

    Jun 16, 2021 07:56

    Viongozi 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wakio gozwa na Sheikh Farid Hadi Ahmed na Mselem Ali Mselem waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya ugaidi, wameachiwa huru.

  • Rais Mwinyi wa Zanzibar aahidi mazuri zaidi kupitia uchumi buluu + Sauti

    Rais Mwinyi wa Zanzibar aahidi mazuri zaidi kupitia uchumi buluu + Sauti

    Jun 13, 2021 03:32

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa, serikali ya awamu ya nane ya Zanzibar ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zake ili kujenga uchumi wa buluu ulio imara kwa taifa. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi.

  • Zanzibar kuanzisha Mfuko Maalum wa Zaka kwa ajili ya kuisaidia jamii

    Zanzibar kuanzisha Mfuko Maalum wa Zaka kwa ajili ya kuisaidia jamii

    Apr 24, 2021 08:30

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakaribia kukamilisha mpango wa kuanzisha Mfuko Maalum wa Zaka ambao utatumika kuwasaidia watu wenye mahitaji visiwani humo.

  • Rais wa Zanzibar 'awatumbua' Makamanda wakuu watatu wa Idara Maalum za SMZ

    Rais wa Zanzibar 'awatumbua' Makamanda wakuu watatu wa Idara Maalum za SMZ

    Apr 12, 2021 22:20

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ.

  • Wazanzibar wajitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa hayati Magufuli katika Uwanja wa Amaan

    Wazanzibar wajitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa hayati Magufuli katika Uwanja wa Amaan

    Mar 23, 2021 10:10

    Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne ameongoza viongozi mbalimbali na Wazanzibari kwa ujumla katika shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt John Pombe Magufuli, ambaye alifariki dunia Machi 17 jijini Dar es Salaam.

  • Othman Masoud Othman Sharif aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar + SAUTI

    Othman Masoud Othman Sharif aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar + SAUTI

    Mar 02, 2021 15:17

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemwapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kufuatia uteuzi aliofanya tarehe mosi Machi mwaka huu

  • Mamia ya maelfu washiriki katika mazishi ya kihistoria ya Maalim Seif Sharif Hamad, Zanzibar

    Mamia ya maelfu washiriki katika mazishi ya kihistoria ya Maalim Seif Sharif Hamad, Zanzibar

    Feb 18, 2021 14:28

    Mamia ya maelfu ya Watanzania hasa wa Visiwa vya Zanzibar leo wameshiriki kwenye maziko ya kihistoria ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK), Maalim Seif Sharif Hamad yaliyofanyika katika kijiji alikozaliwa cha Nyali huko Mtambwe kisiwani Pemba.

  • Serikali ya Zanzibar yagundua mashamba 6,315 yanayoshikiliwa kinyume na sheria kisiwani Pemba

    Serikali ya Zanzibar yagundua mashamba 6,315 yanayoshikiliwa kinyume na sheria kisiwani Pemba

    Feb 16, 2021 09:12

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema mashamba 6,315 yanayoshikiliwa na watu kinyume na sheria yamegunduliwa katika kisiwa cha Pemba.

  • Zanzibar yaadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi, sherehe zagubikwa na corona

    Zanzibar yaadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi, sherehe zagubikwa na corona

    Jan 12, 2021 11:26

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewaongoza Wazanzibari kusheherekea maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi huku sherehe hizo zikigubikwa na janga la COVID-19 au corona.

  • Maalim Seif Sharif Hamad aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) + SAUTI

    Maalim Seif Sharif Hamad aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) + SAUTI

    Dec 08, 2020 12:51

    Maalim Seif Sharif Hamad ameapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar (SUK)

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS