Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zanzibar

  • Halmashauri ya Viwango Zanzibar yahimiza kuboreshwa bidhaa + Sauti

    Halmashauri ya Viwango Zanzibar yahimiza kuboreshwa bidhaa + Sauti

    Nov 16, 2018 02:51

    Taasisi ya Viwango Zanzibar imesisitizia udharura wa kuboreshwa bidhaa zinazozalishwa na zinazoingia visiwani humo ili kuwaepusha Wazanzibari na taathira mbaya za bidhaa zisizotimiza viwango. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.

  • Wanafunzi 16,709 visiwani Zanzibar kufanya mitihani ya Kidato cha Nne mwaka huu + Sauti

    Wanafunzi 16,709 visiwani Zanzibar kufanya mitihani ya Kidato cha Nne mwaka huu + Sauti

    Oct 31, 2018 14:27

    Jumla ya wanafunzi 16,709 visiwani Zanzibar wiki ijayo wanatazamiwa kufanya mitihani yao ya taifa ya Kidato cha Nne. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi...

  • SAUTI, Serikali ya Tanzania yaazimia kulipatia jeshi la polisi vifaa vya kisasa kukabiliana na uhalifu ikiwemo sekta ya utalii

    SAUTI, Serikali ya Tanzania yaazimia kulipatia jeshi la polisi vifaa vya kisasa kukabiliana na uhalifu ikiwemo sekta ya utalii

    Oct 20, 2018 13:20

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa inayo azma ya kulipatia jeshi la polisi vitendea kazi kwa lengo la kukabiliana na changamoto za uhalifuu nchini humo.

  • SAUTI, mafunzo ya ndoa yaanza kutolewa Zanzibar ili kuzilinda Ndoa/ wakazi Wete Pemba, wazuia vazi la niqabu kuzuia uhalifu

    SAUTI, mafunzo ya ndoa yaanza kutolewa Zanzibar ili kuzilinda Ndoa/ wakazi Wete Pemba, wazuia vazi la niqabu kuzuia uhalifu

    Oct 19, 2018 12:27

    Siku chache baada ya kufunguliwa chuo cha mafunzo ya ndoa, Jumuiya ya Maimamu JUMAZA, imeanzisha program ya kutoa mafunzo hayo ili kunusuru ndoa katika jamii.

  • SAUTI, Ongezeko la talaka laifanya Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA kuzindua chuo cha maadili ya ndoa

    SAUTI, Ongezeko la talaka laifanya Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA kuzindua chuo cha maadili ya ndoa

    Oct 16, 2018 15:02

    Kufuatia ongezeko la talaka kati ya wanandoa katika jamii visiwani Zanzibar, Jumuiya ya Maimamu JUMAZA imezindua chuo cha maadili ya ndoa na mtaala wake ambacho kitakuwa na jukumu la kutoa mafunzo bora ili kupunguza ongezeko hilo.

  • SAUTI, Waislamu Zanzibar wamepewa ushauri wa kutekeleza ibada ya Hija wakiwa bado wana nguvu

    SAUTI, Waislamu Zanzibar wamepewa ushauri wa kutekeleza ibada ya Hija wakiwa bado wana nguvu

    Sep 22, 2018 13:03

    Waislamu visiwani Zanzibar wametakiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hija wakiwa bado wana nguvu ili kuepukana na changamoto wakati wa utekelezaji wa ibada hiyo.

  • SAUTI, Mufti wa Zanzibar Sheikh Omar Al Kaabi, awataka Waislamu kutoichezea ndoa ya Kiislamu.

    SAUTI, Mufti wa Zanzibar Sheikh Omar Al Kaabi, awataka Waislamu kutoichezea ndoa ya Kiislamu.

    Aug 10, 2018 12:03

    Mufti wa Zanzibar Saleh Omar Al Kaabi, amewataka Waislamu kuheshimu na kuienzi ndoa kwa ajili ya kujenga jamii bora yenye kufuata maamrisho ya Mwenyezi Mungu.

  • SAUTI, Serikali ya Zanzibar yafurahishwa na ziara ya ujumbe wa bunge la Iran, mahusiano pande mbili yanaimarika

    SAUTI, Serikali ya Zanzibar yafurahishwa na ziara ya ujumbe wa bunge la Iran, mahusiano pande mbili yanaimarika

    Apr 19, 2018 12:33

    Serikali ya Zanzibar imeonyesha kufurahishwa kwake na ziara ya ujumbe wa bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran visiwani humo.

  • SAUTI, Msyria aliyekimbia vita na kuwasili Zanzibar, awa kivutio baada ya kufungua mgahawa

    SAUTI, Msyria aliyekimbia vita na kuwasili Zanzibar, awa kivutio baada ya kufungua mgahawa

    Mar 07, 2018 12:58

    Wazanzibar wameonyesha kuvutiwa na Msyria kwa jina la Twariq Muhammad Samir al-Abad ambaye baada ya kukimbia vita nchini kwao alielekea visiwani humo kwa ajili ya kuendeleza maisha yake.

  • SAUTI, Kamati ya maadili Zanzibar yaitaka serikali kuzifunga baa zilizo karibu na makazi ya watu na misikiti ili kunusuru jamii

    SAUTI, Kamati ya maadili Zanzibar yaitaka serikali kuzifunga baa zilizo karibu na makazi ya watu na misikiti ili kunusuru jamii

    Mar 02, 2018 13:46

    Kamati ya maadili ya Kiislamu visiwani Zanzibar imeitaka serikali kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaojenga baa za ufuska na ulevi karibu na makazi ya wananchi na misikini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS