Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo
  • Hifadhi
  • iPhone
  • Pakua
  • Frikwensi

Muharram

Oct 03, 2016 10:27 UTC
Jiunge
Vipindi Vingine
  • Podcast Swahili
    Podcast Swahili
  • Mwezi wa Ramadhani
    Mwezi wa Ramadhani
  • Uislamu
    Uislamu
  • Darsa ya Quráni
    Darsa ya Quráni
  • Maswali yetu na majibu ya Thaqalayn
    Maswali yetu na majibu ya Thaqalayn
  • Palestina, kadhia kuu ya Waislamu
    Palestina, kadhia kuu ya Waislamu

  • 11
    Mafundisho ya Imam Hussein AS (3)
    Miongoni mwa sifa bora na za kuvutia za mwanadamu ni sifa ya ukarimu na kutenda wema. Katika utamaduni wa Qur'ani Tukufu ukarimu na mtu kutoa alichonacho kwa wasiojiweza, hisani na kusaidia waliodhulumiwa na kukandamizwa ni kielelezo cha kuhudumia wanadamu. Imam Hussein (as) kama walivyokuwa baba na babu yake watukufu, alikuwa dhihirisho kamili la ukarimu na kutenda wema.
  • 10
    Mafundisho ya Imam Hussein AS (2)
    Bismillahir Rahmanir Rahim. Mpenzi msikilizaji tunaendelea kukuleteeni mfululizo wa makala hizi za Mafundisho ya Imam Husain AS ambao ni maalumu kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Muharram kwa ajili ya kuzungumzia mapambano ya Imam Husain AS katika jangwa la Karbala lililoko Iraq ya leo.
  • 9
    Mafundisho ya Imam Hussein AS (1)
    Daima kumekuwepo na swali hili kwamba je, ni nini hasa lengo la mapambano ya Imam Hussein (as)? Je, lengo lake lilikuwa ni kuchukua utawala au lilikuwa ni kuleta mabadiliko na marekebisho kwenye jamii ya Kiislamu? Je, Imam (as) hangeweza kutumia njia nyingine ya amani ili kufikia lengo hilo bila kufanya mapambano ambayo yalisababisha uporaji, kutekwa nyara na umwagaji damu ya Watu wa Nyumba ya Mtukufu Mtume (saW)?
  • 8
    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (5)
    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tano ya mawaidha hayo.
  • 7
    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (4)
    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya nne ya mawaidha hayo.
  • 6
    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (3)
    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tatu ya mawaidha hayo.
  • 5
    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (2)
    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya pili ya mawaidha hayo.
  • 4
    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (1)
    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza ya mawaidha hayo.
  • 3
    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Khamis Awadh wa Tanga Tanzania
    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuandalieni mawaidha maalumu ya mwezi huo mtukufu kutoka kwa Sheikh Khamis Awadh Mussa wa Hawza ya al Qaim ya mkoani Tanga Tanzania, tukiwa na matumaini mtanufaika vya kutosha na mawaidha yake.
  • 2
    Msafara wa Nuru
    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kumbukumbu ya hamasa inayobakia milele ya Karbala hujirudia tena akilini. Kila mtu, na kwa njia tofauti hujenga mawasiliano maalumu na Hussein Ibn Ali (AS) na harakati yake tukufu. Na sababu ni kwamba mapambano ya Imam Hussein (AS) hayakuwa ni vita na makabiliano tu ya silaha.
Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS