Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Vipindi
  • Hifadhi
  • Darsa ya Qur'ani
  • Frikwensi
  • Tovuti Kongwe
  • Hifadhi
  • iPhone
  • Pakua
  • Frikwensi

Utakfiri Duniani

Ni makala inayozungumzia hatari za makundi ya kitakfiri yanayowakufurisha watu wengine

Feb 03, 2016 02:59 UTC
Jiunge
Vipindi Vingine
  • Uislamu
    Uislamu
  • Waislamu wa Rohingya
    Waislamu wa Rohingya
  • Mwezi wa Ramadhani
    Mwezi wa Ramadhani
  • KOMBE LA DUNIA QATAR 2022
    KOMBE LA DUNIA QATAR 2022
  • Mchango wa Maulamaa wa Kishia katika Uislamu
    Mchango wa Maulamaa wa Kishia katika Uislamu
  • Mapinduzi ya Kiislamu (Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii)
    Mapinduzi ya Kiislamu (Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii)
  • Sibtain katika Qur'ani na Hadithi
    Sibtain katika Qur'ani na Hadithi

  • 47
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 11 na sauti
    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa aya za Qur'ani Tukufu na hadithi mienendo ya makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa ni sehemu ya 11 ya mfululizo huo.
  • 46
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 10 na sauti
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu ya 10 ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na Suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao.
  • 45
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 9 na sauti
    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu ya tisa ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na Suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao.
  • 44
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 8 na sauti
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine na hii ikiwa ni sehemu ya nane ya mfululizo huo.
  • 43
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 7 na sauti
    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine na hii ikiwa ni sehemu ya saba ya mfululizo huo.
  • 42
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 6 na sauti
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya sita ya mfululizo wa vipindi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw), mienendo na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda jinai za kutisha dhidi yao.
  • 41
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 5 na sauti
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya tano ya kipindi kinachokosoa kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw), mienendo na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine.
  • 40
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 4 na sauti
    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya nne ya kipindi kinachokosoa kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw), mienendo na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine.
  • 39
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 3 na sauti
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya tatu ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur'an na hadithi za Mtume (saw) mienendo mibaya na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutenda jinai za kutisha dhidi yao.
  • 38
    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 2 na sauti
    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya pili ya vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw) mienendo na fikra hasi za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine duniani.
Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS