60
Mafanikio ya kisayansi ya Iran baada ya mapinduzi (3)
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza makala hii maalumu. Miongoni mwa mifano mingine ya maendeleo ya kisayansi yaliyopatikana nchini Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, ni katika nyanja ya nano, tiba na sayansi zinazohusiana nayo, zikiwemo seli shina.