58
Mafanikio ya kisayansi ya Iran baada ya mapinduzi ya Kiislamu (1)
Katika makala hii maalum, tutaangazia maendeleo na nafasi ya kisayansi ya Iran katika eneo na dunia kwa ujumla, na katika vipindi vijavyo tutaangazia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja kama vile teknolojia za nano, anga, tiba, seli shina na nyuklia.