-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 09:10Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.