-
Sheikh Zakzaky na dhulma za kimyakimya dhidi ya Waislamu wa Nigeria
Jan 13, 2020 13:56Nigeria ina historia ya ukandamizaji wa harakati za Kiislamu. Ukatili, mauaji na ukandamizaji wa harakati za Kiislamu nchini Nigeria vilishadidi zaidi mwaka 2011.