• Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1

    Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1

    Dec 19, 2017 11:25

    Miaka mia moja baada ya kutolewa Azimio la Balfour (Balfour Declaration) la waziri wa wakati huo wa mambo ya nje wa Uingereza akiafiki kuundwa dola la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina, Donald Trump, Rais wa sasa wa Marekani ameitangaza Quds tukufu (Jerusalem) na Baitul Muqaddas, Kibla cha Kwanza cha Waislamu wote, kuwa ni mji mkuu wa utawala huo bandia wa Israel.

  • Kashfa kubwa zaidi ya kimaadili yaitikisa tena Hollywood

    Kashfa kubwa zaidi ya kimaadili yaitikisa tena Hollywood

    Oct 25, 2017 11:42

    Sekta ya filamu ya Hollywood huko Marekani imetengeneza filamu nyingi zinazozungumzia maudhui ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono na vilevile kashfa za ufuska na kadhalika.

  • Tuzo ya filamu ya Oscar 2017 na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman)

    Tuzo ya filamu ya Oscar 2017 na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman)

    Mar 05, 2017 08:38

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitatupia jicho sherehe ya tuzo ya filamu ya Oscar nchini Marekani na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman) iliyotengenezwa na Muirani. Ni matarajio yetu mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.