-
Alkhamisi tarehe 16 Julai mwaka 2020
Jul 16, 2020 17:54Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Mfunguo Pili Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Julai 16 mwaka 2020.
-
Jumanne tarehe 14 Agosti 2018
Aug 14, 2018 02:56Leo ni Jumanne tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhulhija 1439 Hijria sawa na 14 Agosti 2018.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uistikbari na kuunga mkono mapambano ya Kiislamu
Feb 01, 2018 08:12Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyowaandalieni kwa munasaba wa siku hizi za maadhimisho ya kuingia katika mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya 1979. Katika makala hii ya leo tutaangazia kadhia ya 'Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uiskitabiri wa kimataifa na kuunga mkono muqawama au mapambano ya Kiislamu.