• Mapinduzi ya Kiislamu na matunda yake ya kiuchumi (2)

    Mapinduzi ya Kiislamu na matunda yake ya kiuchumi (2)

    Feb 06, 2023 07:50

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika sehemu hii nyingine ya mfululizo wa makala zetu maalumu tulizokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Leo tutaendelea kuzungumzia matunda ya kiuchumi ya mapinduzi hayo matukufu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hawi mwisho wa kipindi.