-
Jumanne, 30 Septemba, 2025
Sep 30, 2025 02:21Leo ni Jumanne tarehe 7 Rabiul-Thani mwaka 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 8 mwezi Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 30 Septemba 2025 Miladia.
-
Alkhamisi tarehe 21 Machi 2019
Mar 21, 2019 03:56Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Rajab 1440 Hijria sawa na Machi 21 mwaka 2019.
-
Historia fupi, mila na desturi za Nairuzi kwa muhtasari
Mar 20, 2018 02:24Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumatano ya tarehe 21 Machi mwaka huu wa 2018 inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia.
-
Nowruz Katika Utamaduni na Mafundisho ya Kiislamu
Mar 25, 2017 11:41Tuko katika siku za awali za mwaka mpya wa Kiirani wa 1396 Hijria Shamsia ambao ulianza Machi 21. Siku za kuanza mwaka mpya wa Kiirani hujulikana kama Nowruz au Nairuzi na huadhimishwa kwa furaha na shangwe kote Iran na nchi zinazozungumza Kifarsi pamoja na mataifa yote ambayo kwa njia moja au nyingine yana uhusiano na ustaarabu na utamaduni wa Iran.
-
Historia fupi ya Nairuzi
Mar 18, 2016 06:21Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumapili ya tarehe 20 Machi mwaka huu inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia. Ni sherehe za kale na za muda mrefu ambao matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki. Asili ya sherehe za Mwakakongwa huko Makunduchi visiwani Zanzibar, ni sherehe hizo za Nairuzi za nchini Iran.